sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba.
Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu. Pia akiimba unaipata ile fleva.
Album mpya aloachia leo imejaa ufundi mtu hauwezi kuruka wimbo hata mmoja ni pipi tu umo ndani.
Kanyaga twende Barnaba tumechelewa sana.