Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

Umemsikiliza Joel lwaga kwanza alivyo mpoteza kwenye Mlima Sinai,
Una mfahamu rama d? Au Q chifu kwenye ubora wake ulimsikiliza, vipi upendo kirahilo una mfahamu
 
Watoto wa juzi ukiwauliza vocalists kina Bitchuka, Marijani, Zahir Zorro hawawezi kuelewa wanawajua hawa hawa bongo fleva.
 
Hapana sijalipwa niambie nani ambaye ana vocal kali nchi hii kuwai tokea zaidi ya Barnaba?
Banza stone, peter msechu(akiimba live), chtistian bella, linex, one six, rama dee, q jay, marlow, matonya, makamua na wengine kibaoo... perception!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom