Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

Wengi hawamjui humu. Tumepata mavocalist wazuri sana hapa Tz. Achana na hao wa muziki wa ki dunia. Makanisani, misikitini wapo wengi sana.
Ila ktk mziki wa duniani Q chilla, Ben Paul, Mr. Paul, Aliyeimba Aifola, Aliyeimba Sumu ya Teja, Zahir Ally Zoro Family, Gurumo Hawa ni baadhi tu
Uliowataja hapo vocalist mkali ni mzee zahir tuu
 
wapo ila huyu ni mpambanaji kuna wapambanaji wenzake pia.Vipani ni vingi ndugu ila wapi pa kusikikia sasa ndo changamoto.Wanakosa jukwaa la kuonyesha uwezo wao
 
NI wengi wengine sio maarufu hatuwajui hawajapata nafasi
 
Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba.

Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu. Pia akiimba unaipata ile fleva.

Album mpya aloachia leo imejaa ufundi mtu hauwezi kuruka wimbo hata mmoja ni pipi tu umo ndani.

Kanyaga twende Barnaba tumechelewa sana.


Hunijui mimi wewe
 
Naona Clouds media sasa wamesurrender.. wameanza dondosha wasanii wao.
 
Back
Top Bottom