sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Reivan si ameondoka kwa ndomo? Mtoa mada imebidi abadili gia anganiSamahani mkuu, sio Rayvanny tena[emoji15][emoji15]
Kwanza unaelewa maana ya vocalist mkuu?Samahani mkuu, sio Rayvanny tena[emoji15][emoji15]
Hapana sijalipwa niambie nani ambaye ana vocal kali nchi hii kuwai tokea zaidi ya Barnaba?Kakupa shilingi ngapi maana si kwa sifa hizi
Inawezekana wewe unamapenzi na vocal nzitoIpo nafasi yake lakini usimkabidhi Nchi kwa mahaba yako binafsi kama mgeni katika Taifa hili! Unamjua Mzee Zorro au ulikuwa hujazaliwa? Banana je? Ngoja nifanye shughuli zangu nyingine kwanza.
Sikuwai kujua Barnabas anaweza simama wimbo mmoja na Joel Lwaga na akamfunika kama kamfundisha muzikiNo doubt
[emoji23][emoji23]Samahani mkuu, sio Rayvanny tena[emoji15][emoji15]
Akisainiwa lebo ipi ndio atatoboa?Watakuambia "If It Doesnt Make Money, Doesnt Make Sense".
Afanye afanyalo ila asijiloge akasainiwa WCBenga, maana ndiyo itakuwa mwisho wake.
Wengi hawamjui humu. Tumepata mavocalist wazuri sana hapa Tz. Achana na hao wa muziki wa ki dunia. Makanisani, misikitini wapo wengi sana.Alikuwepo jomba anaitwa QChilla , siku ya kwanza namsikiliza kwenye kiitikio cha mpiga debe nilijua ni demu.
Ile sauti ilipotelea wapi?
Maston ana sauti ya kike hana ufundi wa vocalUshawahi msikiliza frankie maston?