sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #21
Uliowataja hapo vocalist mkali ni mzee zahir tuuWengi hawamjui humu. Tumepata mavocalist wazuri sana hapa Tz. Achana na hao wa muziki wa ki dunia. Makanisani, misikitini wapo wengi sana.
Ila ktk mziki wa duniani Q chilla, Ben Paul, Mr. Paul, Aliyeimba Aifola, Aliyeimba Sumu ya Teja, Zahir Ally Zoro Family, Gurumo Hawa ni baadhi tu
uyo barnaba kwa T.I.D akasome mzeeHapana sijalipwa niambie nani ambaye ana vocal kali nchi hii kuwai tokea zaidi ya Barnaba?
Q-chief mnamchukulia poaUliowataja hapo vocalist mkali ni mzee zahir tuu
uyo Rama D apewe heshima yakeKwangu mimi Rama D na Nuruel sioni huyo barnaba anaingia wapi
You smart... Unaujua mziki mzuriKwangu mimi Rama D na Nuruel sioni huyo barnaba anaingia wapi
Huyu dogo amezaliwa 2009 hawezi kujua yote hayaUnamjua Bizimana wewe
Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba.
Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu. Pia akiimba unaipata ile fleva.
Album mpya aloachia leo imejaa ufundi mtu hauwezi kuruka wimbo hata mmoja ni pipi tu umo ndani.
Kanyaga twende Barnaba tumechelewa sana.
TID? Wengi hamuelewi vocalist ni nani.uyo barnaba kwa T.I.D akasome mzee
kuna kina Q-chief
wengine wachangiaji watajazia