Sababu Ukraine wanapigana sisi Ujambazi na Wizi wa hapa na pale inabidi tusilaumu....
Kwanini tusijifananishe Na nchi ambazo hazina Mgao ? Hii kwa lugha ya Ughaibuni tunaweza kuita Mediocrity...
NB: Binafsi SA hawachukui Kodi yangu hivyo kila la Kheri kwao... (ila hawa kama wameshindwa kazi waachie ngazi)