mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri.
Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba darasa la sita, hata yule aliyefanikiwa kumaliza la saba naye aliishia form two.
Kiufupi wale mabinti wamepoteana na maskini mmoja alitangulia kwa ugonjwa wa taifa. Tulipokuwa Olevel mkali wetu pale darasani, yule bwana hata msomaje lazima awongozee masomo yote.
Cha ajabu alikwenda A level, baada ya hapo chuo kusoma computer science ajira anatafuta hadi kaona siyo poa, leo ni mwalimu wa hesabu private school analipwa laki kazaa basi kiufupi kapoteana.
The same chuo niliosoma nao wengi tu tunamaisha magumu sana, lakini kote huko toka primary to chuo wale wakawaida wana vinafasi flani kiufupi wanaenjoy maisha, higher p.