Haya lete data zako ujadili kiutaalam.sio kweli, nina wasi wasi na hizi data
Huwezi waona wakipaza Ujinga ujinga wao wa MadharauMpiga kelele mkuu humu wa Kenya MK254 anatokea Huruma slums. Akija kubisha humu natoa ushahidi wa kumuweka uchi.
List of Slums in Kenya:-
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
Ulienda google kutafuta hii yote. Heri sisi, tunakiri kuwa makao duni yapo, na tunafanya juhudi kukabiliana na hili janga na kutafiti umaskini. Pia, tunaweka data zetu wazi na kwenye mtandao, ndo raia wapate na wao kujua hali ilivyo, na hizo data zinapangwa na kuandaliwa kiutaalam. Mna safari ndefu mno,wabongo.List of Slums in Kenya:-
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
Kwikwikwikwikwi. Mtakoma.Ulienda google kutafuta hii yote. Heri sisi, tunakiri kuwa makao duni yapo, na tunafanya juhudi kukabiliana na hili janga na kutafiti umaskini. Pia, tunaweka data zetu wazi na kwenye mtandao, ndo raia wapate na wao kujua hali ilivyo, na hizo data zinapangwa na kuandaliwa kiutaalam. Mna safari ndefu mno,wabongo.
you have hit the nail on the head man.....Ha! Povu la mwagika kila Mahali... Hamna pa kujitetea, mmevuliwa nguo Uchi hadharani...mwajaribu kujificha nyuma ya picha za Kenya. Na sijui list za slum...hahahaha hata mjaribu vipi hamuwezi change facts kwamba 3.5m dar na 8.5 million countrywide wanaishi ndani ya slum...
Kila mtu anajua wakenya hupenda kupiga picha miji yao kuzuri na kubaya, mapicha yako mengi tu, ukitafuta vizuri mtandaoni utakuta hata direction inakuelezea jinsi direction ya kufika kwa mama flani pale kibera ambae amepewa lesseni ya kuzalisha wajamzito....
So hata mlete picha ngapi, still wont change facts on the ground! You can cry, jump up and down , throw your feet, still the reality will remain the same!
Ha! Povu la mwagika kila Mahali... Hamna pa kujitetea, mmevuliwa nguo Uchi hadharani...mwajaribu kujificha nyuma ya picha za Kenya. Na sijui list za slum...hahahaha hata mjaribu vipi hamuwezi change facts kwamba 3.5m dar na 8.5 million countrywide wanaishi ndani ya slum...
Kila mtu anajua wakenya hupenda kupiga picha miji yao kuzuri na kubaya, mapicha yako mengi tu, ukitafuta vizuri mtandaoni utakuta hata direction inakuelezea jinsi direction ya kufika kwa mama flani pale kibera ambae amepewa lesseni ya kuzalisha wajamzito....
So hata mlete picha ngapi, still wont change facts on the ground! You can cry, jump up and down , throw your feet, still the reality will remain the same!
hahahahaha umeniuwa uuuuuwiiii!!!!! Washenzi sana hao wawili, yani wako radhi wageuze wikipedia ili ashinde argument.....sijawai ona mtu ako willing to go to that legnth just for some forum argument.... Ingekua worldbank unaeza edit umgewakuta huko mbio mbio, wangejaza vi screenshot wakionyesha data mpya last edited 30 min ago!Ambia Annael na Ichoboy warekebishe data kwa google-wikipaedia, ili tz iyonekane safi bila mawaa., wageuze kuonyesha kenya iko na maskini kuliko tz., hiyo ndio kazi yao., ukweli umeanikwa, iko kwa wikipaedia kweli? kitabu cha Annael na Ichoboy..,
How do you know he lives in a slum mate? Or you are just saltyWhere do you live!?
You can Bitch about Tanzania being the country with leading number of slums compared To Kenya while you as well are living in slums.
And you can be proud that Kenya has low number of slums compared to Tanzania while you are living in slums.
Either way! This won't make you life better.
Ukiona wakitype hapa utadhani Tanzania iko ligi moja na Canada na Norway. While in reality it is one of the LCD countrieshahahahaha umeniuwa uuuuuwiiii!!!!! Washenzi sana hao wawili, yani wako radhi wageuze wikipedia ili ashinde argument.....sijawai ona mtu ako willing to go to that legnth just for some forum argument.... Ingekua worldbank unaeza edit umgewakuta huko mbio mbio, wangejaza vi screenshot wakionyesha data mpya last edited 30 min ago!
Kuna watu wengine wakiwekwa ndani ya serikali maskini wote watapotea... Data zitakorogwa ziongezwe royko,mdalasini,Kitunguu saumu...