Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
Sio ndogo kama za wale watz hututajia Kibera, Turkana, Alshabb,njaa, umaskini, ukabila kila mara tukiweka threads zetu nzuri humu!Sijawahi on akili ndogo kama hizi toka Kenya. The
Mbagala imekuwa Manzese siku izi au?Jamani,,,jamani..!
Yaani nyie watoto wa Kibera na Mathare kweli yale mabanda yenu mnataka kuyalinganisha na nyumba zetu za Manzese
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maneno ya mkosajiUlienda google kutafuta hii yote. Heri sisi, tunakiri kuwa makao duni yapo, na tunafanya juhudi kukabiliana na hili janga na kutafiti umaskini. Pia, tunaweka data zetu wazi na kwenye mtandao, ndo raia wapate na wao kujua hali ilivyo, na hizo data zinapangwa na kuandaliwa kiutaalam. Mna safari ndefu mno,wabongo.
Mimi hizo statistics zao za kupika kupitia taasisi mbalimbali zenye ufadhili wa pesa za wazungu,hata sina habari nazo.Nyie wakenya sasahivi hakuna wimbo tena
Sifa zimeisha
Kejeli Hakuna
mmebaki Wadogo kama pilitoni!!
mkitoa kichwa tunakata
huku mnakwenda kukumbatia moto
mnataka kuaibika bure hahaha
Mada hii tamu sana
nahama jukwaa la siasa
Endeleeni tuone
kadoda11 ichoboy01
njooni mjionee huku
hakianani msikimbie humu
Correction: Kibera have 2.5mn residents.Kenya has 6m slum dwellers and we all know the big slums like kibra and mathare with about 200k ppl. Tanzania has 8m slum dwellers but I haven't heard of a 200k sized slum there. So I tend to wonder, if these statistics are actually true, just how many tiny slums are there in Tz to add up to 8m ppl?
2.5m pipo cant possibly fit within 2.5km2. It's simple commonsense. It has 250k ppl. Look at how crowded Mombasa is, with only 1.5m pipo within 450km2.Correction: Kibera have 2.5mn residents.
But the government census ilipata kibera iko na around 200k people. and the piece of land is 2,5 sq km. We follow the legit government census figures hereCorrection: Kibera have 2.5mn residents.
Najua hata kwenye 100 Tanzania hatumoTOP 20 WORST SLUMPS IN AFRICA
1. Kibera(2.5mil) - (Nairobi, Kenya)
2. Kroo Bay - Sierra Leon
3. Mathare (500000) - (Nairobi, Kenya)
4.West Point - (Monrovia, Liberia)
5. Makoko - Nigeria
6. Korogocho - (Kenya)
7. Kawangware - (NAIROBI, Kenya)
8. Kiambui - (Nairobi, Kenya)
9. Agbogbloshie - Ghana
10. Clara Town - Liberia....
The 20 Worst Slums in Africa
2.5m pipo cant possibly fit within 2.5km2. It's simple commonsense. It has 250k ppl. Look at how crowded Mombasa is, with only 1.5m pipo within 450km2.
Hawa jamaa utakesha ukianza kuongea nao. Hawawezi tofautisha kati ya slums na unplannedsettlements. Sisi Tanzania tuna unplanned settlements ndo maana waweza kuta property ya hata US$ 500'000.Unajua slums,nyingi?hebu taja sehemu moja Tz watu wanapoishi kwenye mabox na mabati?Hii ni Kenya inapatikana sio Tz ,wakenya acheni mbwembwe