Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Nairobi

p307.gif



Vs

Dar is Slum

unplanned+paint.png
kumbe sio slums umeona sasa ni unplanned settlement ndio iko dar ila slums ziko hapaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 amabazo zinatisha duniani

2000px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
Na nyinyi ardhi yenyu isiomilikiwa na yeyote isipokuwa wananchi, mbona nchi yenyu bado ni maskini wa kutupwa?

Umewahi kusikia kitu kinaitwa Multidimensional Poverty Index, ama (MPI)?

MPI-poor.png


Click on that image to zoom.
hebu kwa akili umepost hio graph so nataka uisome vzr😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

MPI-poor.png
 
Acha kuongea ujinga. Tanzania sio nchi ya pekee inayotuuzia mahindi. FYI mahindi yetu hutoka hadi huko Brazil na SA.

Ikikosekana sio lazma wakenya wale tu ugali. Tumejitosheleza sana kwa vya vyakula vinginevyo kama mchele, ngano, mtama nk. Ni lazma tuvumilie hali iliopo.

Kuhusu uzalishaji wa ngano Kenya, hebu tazama hili mwaka 2014

africa-map-wheat-production.jpg





Lakini chakula chetu kikuu ni ugali.
Msije huku basi nendeni huko Brazil mkanunue hizo mahindi zenu au mkae hukohuko kwenu mkule hizo ngano zenu.
 
Acha kuongea ujinga. Tanzania sio nchi ya pekee inayotuuzia mahindi. FYI mahindi yetu hutoka hadi huko Brazil na SA.

Ikikosekana sio lazma wakenya wale tu ugali. Tumejitosheleza sana kwa vya vyakula vinginevyo kama mchele, ngano, mtama nk. Ni lazma tuvumilie hali iliopo.

Kuhusu uzalishaji wa ngano Kenya, hebu tazama hili mwaka 2014

africa-map-wheat-production.jpg





Lakini chakula chetu kikuu ni ugali.

soma hapa usipende kujipa matumaini sana 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
huyo ndio azam munamuogopa kama ukoma

Magazines
Kenya defies EAC recommendation to allow imports of wheat flour from Tanzania.
Wednesday, April 12, 2017 9:14
wheat.jpg

Wheat farmer Bernard Kimani (right) and a friend prepare the grain for sale in Burnt Forest last November. FILE PHOTO | NMG







Kenya has defied a recommendation from the East African Community (EAC) secretariat to allow imports of wheat flour from Tanzania.

A report from the EAC Council of Ministers meeting last week indicate that Kenya ignored the technical guidance issued by the secretariat on February 6 calling on Kenya to allow imports of wheat products from Tanzania.

“In that guidance, among other things, they informed partner states that where wheat flour is milled from imported wheat grain in a partner state it qualifies under the EAC Rules of Origin to be accorded Community Tariff Treatment when traded between partner states,” reads a report from EAC.

However, Kenyan wheat millers have long argued that Tanzania imports its wheat products and should therefore not enjoy tax incentives under the East African Community Customs Union rule of origin, which gives preferential treatment to goods produced within the region.

Kenya responded to the EAC guidance by allowing imports of only 40 trucks of wheat flour from Said Salim Bakhresa and Co. Ltd, which has a local subsidiary in Kenya.

Tanzania’s minister of Trade said Kenya had since gone on to hold another 28 trucks of wheat products from Monaban Trading Co. Ltd, Arusha.

“In all these occasions the Republic of Kenya couldn’t provide any written document to justify their actions which go against the EAC Customs Union,” Tanzanian officials said.

Also Read



MagazinesInside Sh20bn Ford Ranger Assembly Plant


MagazinesBIKO INTERVIEW: The Adrenaline Junkie


MagazinesGLS that speaks style

The millers further said duty free wheat product imports from Tanzania is unfair because Kenyans pay up to 50 per cent duties when exporting their products to East African Community member states, including Tanzania.

Both Kenya and Tanzania do not produce sufficient wheat locally and they rely on imports to meet the annual demand.

This makes Kenya a net importer of wheat, bringing in two-thirds of its requirement to meet the annual consumption of 900,000 metric tonnes against the annual local production of 350,000 tonnes.

The low global cost of the produce has seen millers import huge volumes of the produce in recent months.

A bag of imported wheat lands in Nairobi at about Sh2,650 against the local price of Sh3,000 that they paid to farmers in the last season.
 
Okay.....I get it!
So, to cut the long story short, most of the Dar neighborhoods comprise mostly of unplanned settlements, but with few slums and.........planned settlements, right?

As I had implied in one of my comments above, whether slums or unplanned settlements or whichever phrase u pipo w'd prefer to refer to them, they are still pretty much an eyesore.....and they provide the impression that this Dar is such a poor and disorganized city.
10320481645_6f66152101_b.jpg


Dar+es+Salaam+panorama.jpg
fananisha kwa akili yako ya kuzaliwa usitumie elimu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hata fananisha nyumba hizi na zenu hahahahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
ujue hata ukali wa povert ulivo mkubwa kwenu yani maisha kama nguruwe wanavoishi
hio ndio tofauti ya unplanned settlement na slums naona umeelewa sasa🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
hio ndio kichwa ya kenya ilivooza
20.jpeg
21.jpg
211.jpg
2111.jpeg

4.jpg
44.jpg

44.jpg

24.jpg
 
fananisha kwa akili yako ya kuzaliwa usitumie elimu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hata fananisha nyumba hizi na zenu hahahahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
ujue hata ukali wa povert ulivo mkubwa kwenu yani maisha kama nguruwe wanavoishi
hio ndio tofauti ya unplanned settlement na slums naona umeelewa sasa🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
hio ndio kichwa ya kenya ilivooza
View attachment 498960 View attachment 498961 View attachment 498962 View attachment 498963
View attachment 498964 View attachment 498965
View attachment 498965
View attachment 498966
Mbona hiyo slum moja tu ndio mmekwamalia?

Na uonavyo, 75% ya Nairobi ni planned settlements. Slums ni machache sana.

kibera1-gif.457954


Kibera size vs this suburbs of Dar


5402161425_111359aabd_b.jpg


Dar+es+Salaam+panorama.jpg


dar-es-salaam-by-air-tanzania-apr2013-picture-id169758289


39751258-Aerial-view-of-the-city-of-Dar-Es-Salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildings-Stock-Photo.jpg


DSM-Aerial-view.jpg


And the map

27173158351_42055bfeba_b.jpg
 
Ha! Nimeamini Wengi wenu hamjawai Itembelea Dar
Hakuna vinyumba kama vya Nairobi
Vibanda vya Nairobi vimezidi
Sikutegemea hilo

Nimeshangaa Kwenye Taarifa ya MOTOCHINI
kuwa Hawana ardhi ya kuchimba choo
inapelekea Watu zaidi ya 500 choo kimoja!!
Kweli Haya yapo Dar!; [emoji31] [emoji31]
Na sasa wengi wenu ndio mmewahi tembea Nairobi?

Ndio Nairobi kuna hivyo vijumba vya vibanda, lakini hayaizidi makazi za hali ya hadhi kama haya....

6909216149_a7e02570a2_b.jpg


Lakini hebu nionyeshe angalau kitaa kimoja Dar lenye upangilio wa aina hiyo. Hamna!
Yaani karibu kila mahali panakaa hivi......

39751258-Aerial-view-of-the-city-of-Dar-Es-Salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildings-Stock-Photo.jpg

Hapa ni Dar!

Sio kila mahali Nairobi suala la choo ni tatizo isipokuwa kwenye hayo mitaa za mabanda. Na siku hizi hata hilo tatizo limepunguzwa kwa kiwango kikubwa na serikali pamoja pia na matatizo ya kutoa misaada.....Kenya's Kibera slum gets a revamp - BBC News.

Tatizo hilo bado yapo kwenye mitaa mengi ya Dar choo na bafu kimoja kinakuwa shared na watu kadhaa. Hili ni tatizo kote barani.
 
Iconoclastes
Mathare.....Kibera.....Dandora sijui Zimmerman huko
Slums Nairobi sio Kibera tu. Nikileta hapa picha za Mathare watu watashangaa kama ni binadamu wanakaa humo au funza
 
Ila walimu wana kazi. Pia ukiwa mwalimu sharti usiwe na hasira.
Wewe Iconoclastes nimejitahidi sana kutumia njia rahisi sana ili uelewe tofauti iloyopo kati ya slums na unplanned settlements. Ukawa kama umenielewa, lkn naona umerudia yale yale. Sasa nikuelimishe kitu linganisha baina ya nchi %age of planned or surveyed land hapo ndiyo utaeleweka.
C'mon! whatever u call those settlements, they STILL bear all the hallmarks of slums anywhere in Africa!

manzese_slum-Dar_jpg_500x500_q85.jpg


Nairobi_Odd%20Iglebaek.jpg


16493235947_b1ab0c2646_b.jpg



Surely, in what ways are those poor settlements different from this....

Kibera Slum, Nairobi

aerial-view-of-suburbs-of-nairobi-kenya-picture-id621191824


Johannesburg slum
1.jpg


Lagos Slum

Lagos+from+Air.jpg
 
Iconoclastes
Mathare.....Kibera.....Dandora sijui Zimmerman huko
Slums Nairobi sio Kibera tu. Nikileta hapa picha za Mathare watu watashangaa kama ni binadamu wanakaa humo au funza
Go ahead! It wont change the fact that Nairobi is a much better planned cities than Dar is Slum.
We Kenyans have often said that Nairobi has only around 15 slums, spread out in different parts of the city, and they are far from each other....

ichoboy01 's map confirms that fact with his map, showing the location of those slums in Nairobi

2000px-Nairobi_slums_area.svg.png


Another map here

p307.gif


U can even confirm that via the satellite pictures.

Satellite map of Nairobi


Dar on the other hand, my friend!

unplanned+paint.png


_61696726_dar_es_salaam_growth_304map.jpg


Dont tell me that the last map is from 2002, unless u are crazy.
 
Back
Top Bottom