Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

Huyu ndo mwandishi wa habari kipenzi cha wanasimba.
 
Huyo mwandishi ni kanjanja... hiyo closing clause yake ina contract hoja yake yote ...
 
4th official ndio kazi yake kuhakikisha kilichopo mezani (wachezaji waliotangazwa kabla ya match wapo) kabla ya kuruhusu mchezaji kuingia Ina maana wao hawakuona hili?,wale ndio CAF yenyewe pale uwanjani.
 
Wakati anaingia alikuwa na namba 26 au 24, nimeangalia line up alikuwa na namba 24.
 
Guinea wanadai Mchezaji Ibrahim Ame aliyeingia kipindi Cha pili alivaa jezi yenye namba 26 ambayo haikuwemo kwenye namba zilizoidhinishwa kama Substitutes hivyo wametaka CAF kufuatilia mbali ushindi wa Tanzania badala yake wawape Guinea pointing 3 na magoli 3 Ili wao wafuzu rasmi.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


My Take
CAF inasubiriwa kutoa uamzi.
 
Fitna za Soka ๐Ÿ˜ƒ

Ila watanzania hatuko makini Kwenye jambo lolote

Unaweza kukuta Mechi ilishauzwa kabla ya mchezo Uwanjani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Simba vs Stella 1993
 
Machadema yatafurahi sana , ya nadhani atakaeathirika ni Samia na sio Taifa stars na Watanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hiyo kitu haijawahi na haitakuja kutokea mistake ya namba hutokea ktk mchezo wa mpira wa miguu hicho sio kigezo cha kuicancel team
 
No26 alikuwa nani huyo
babu kijana. Hivi ni number inayo funga goli au ni mchezaji? sijajua uhusiano wa moja kwa moja kati ya mchezaji na Jezi number yake katika masuala ya ufungaji magoli.. au ni identity tu au ni ili waijue number yake na wamloge na asifunge?
 
Hiyo kitu haijawahi na haitakuja kutokea mistake ya namba hutokea ktk mchezo wa mpira wa miguu hicho sio kigezo cha kuicancel team
Usichukulie poa maana mchezaji hua anatambulika kwa namba katika mchezo husika na sio jina lake..
Ndo maana unaona jezi lazima na iwe na namba ila jina sio lazima
 
Dunia na afrika wanajua tulishinda uwanjani kwa dk 90 caf wakituondoa ni kwa sababu zao za kibiashara za kutaka kuona majina makubwa ya kina Guirasy yakiwa afcon
 
Apa naamini uchawi upo wajomba mil 700 CAF wachukue๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Usichukulie poa maana mchezaji hua anatambulika kwa namba katika mchezo husika na sio jina lake..
Ndo maana unaona jezi lazima na iwe na namba ila jina sio lazima
Achaa kulilia ushindi kupitia technicalities, hoja ya msingi huyo ni mchezaji wa Tanzania na ni mtanzania na taarifa zake zote wanazo huko CAF! Full stop!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ