Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Madhara ya siasa kuchanganyika na mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina ya kikosi cha Stars.Hiyo ndio list ya CAF?
Hapo ndipo hata mimi sielewi mkuu, nimebaki na mshangao.Hiyo jezi no 26 aliitoa wapi
Huyu ndo mwandishi wa habari kipenzi cha wanasimba.Wakuu,
Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Pia, Soma:
Katika dakika ya 73 ya mechi yao ya kufuzu, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyekuwa na jezi namba 26. Hata hivyo, kwenye orodha rasmi ya wachezaji iliyowasilishwa CAF kabla ya mechi, hakukuwa na mchezaji yeyote aliyekuwa ameambatanishwa na namba hiyo ya jezi.
- Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
- Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?
Kwenye Media start list Ibrahim Mohamed Ame ambaye ndiye alivaa jezi namba 26 aliorodheshwa na namba 24, ambaye aliingia dakika ya 76 kuchukua nafasi ya Nahodha Mbwana Samatta.
Mzize jioni hii alikuwa benki anahangaika kuitoa yote akae nayo ghetoHeeeee!
Sasa kina Mzinze watarudisha ile mia saba?
4th official ndio kazi yake kuhakikisha kilichopo mezani (wachezaji waliotangazwa kabla ya match wapo) kabla ya kuruhusu mchezaji kuingia Ina maana wao hawakuona hili?,wale ndio CAF yenyewe pale uwanjani.Wakuu,
Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Pia, Soma:
Katika dakika ya 73 ya mechi yao ya kufuzu, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyekuwa na jezi namba 26. Hata hivyo, kwenye orodha rasmi ya wachezaji iliyowasilishwa CAF kabla ya mechi, hakukuwa na mchezaji yeyote aliyekuwa ameambatanishwa na namba hiyo ya jezi.
- Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
- Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?
Kwenye Media start list Ibrahim Mohamed Ame ambaye ndiye alivaa jezi namba 26 aliorodheshwa na namba 24, ambaye aliingia dakika ya 76 kuchukua nafasi ya Nahodha Mbwana Samatta.
Akina nani hao na muda wa substitution.Kuna mtu ameandika X kuwa tanzania ilifanya sub tatu tu, 11 16 & 24.
Wakati anaingia alikuwa na namba 26 au 24, nimeangalia line up alikuwa na namba 24.Wakuu,
Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Pia, Soma:
Katika dakika ya 73 ya mechi yao ya kufuzu, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyekuwa na jezi namba 26. Hata hivyo, kwenye orodha rasmi ya wachezaji iliyowasilishwa CAF kabla ya mechi, hakukuwa na mchezaji yeyote aliyekuwa ameambatanishwa na namba hiyo ya jezi.
- Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
- Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?
Kwenye Media start list Ibrahim Mohamed Ame ambaye ndiye alivaa jezi namba 26 aliorodheshwa na namba 24, ambaye aliingia dakika ya 76 kuchukua nafasi ya Nahodha Mbwana Samatta.
Machadema yatafurahi sana , ya nadhani atakaeathirika ni Samia na sio Taifa stars na Watanzania 😂😂Wakuu,
Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Pia, Soma:
Katika dakika ya 73 ya mechi yao ya kufuzu, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyekuwa na jezi namba 26. Hata hivyo, kwenye orodha rasmi ya wachezaji iliyowasilishwa CAF kabla ya mechi, hakukuwa na mchezaji yeyote aliyekuwa ameambatanishwa na namba hiyo ya jezi.
- Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
- Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?
Kwenye Media start list Ibrahim Mohamed Ame ambaye ndiye alivaa jezi namba 26 aliorodheshwa na namba 24, ambaye aliingia dakika ya 76 kuchukua nafasi ya Nahodha Mbwana Samatta.
If you want to talk to me, talk to me direct, don't go truu de cornersKuna watanzania watafurahi
As long kauorezeshwa kwenye list hakuna shida!!Mnaanza uchawi, mnataka kumuangusha mama
babu kijana. Hivi ni number inayo funga goli au ni mchezaji? sijajua uhusiano wa moja kwa moja kati ya mchezaji na Jezi number yake katika masuala ya ufungaji magoli.. au ni identity tu au ni ili waijue number yake na wamloge na asifunge?No26 alikuwa nani huyo
Usichukulie poa maana mchezaji hua anatambulika kwa namba katika mchezo husika na sio jina lake..Hiyo kitu haijawahi na haitakuja kutokea mistake ya namba hutokea ktk mchezo wa mpira wa miguu hicho sio kigezo cha kuicancel team
Apa naamini uchawi upo wajomba mil 700 CAF wachukue😆😆😆Wakuu,
Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Pia, Soma:
Katika dakika ya 73 ya mechi yao ya kufuzu, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyekuwa na jezi namba 26. Hata hivyo, kwenye orodha rasmi ya wachezaji iliyowasilishwa CAF kabla ya mechi, hakukuwa na mchezaji yeyote aliyekuwa ameambatanishwa na namba hiyo ya jezi.
- Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
- Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?
Kwenye Media start list Ibrahim Mohamed Ame ambaye ndiye alivaa jezi namba 26 aliorodheshwa na namba 24, ambaye aliingia dakika ya 76 kuchukua nafasi ya Nahodha Mbwana Samatta.
Achaa kulilia ushindi kupitia technicalities, hoja ya msingi huyo ni mchezaji wa Tanzania na ni mtanzania na taarifa zake zote wanazo huko CAF! Full stop!!Usichukulie poa maana mchezaji hua anatambulika kwa namba katika mchezo husika na sio jina lake..
Ndo maana unaona jezi lazima na iwe na namba ila jina sio lazima