Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

Alie peleka namba na majina Caf huyo ndiye mchawi wetu tff washughulikie
 
Dunia na afrika wanajua tulishinda uwanjani kwa dk 90 caf wakituondoa ni kwa sababu zao za kibiashara za kutaka kuona majina makubwa ya kina Guirasy yakiwa afcon
Mkuu wala Caf haihusiki na ujinga watu wetu walioufanya., yaani malalamiko yananda Caf badala ya mtu aliyepeleka majina ya wachezaji wetu kwa waratibu?
Kuna uzembe ulifanyika mahali, ila sasa tunataka kuona kama tumeundiwa zengwe wakati sie wenyewe ndio tumejihujumu.
Halafu hayo majina huwa yanapelekwa saa moja kabla ya mechezo kuanza, ina maana hakuna mtu ayegundua hicho kitu mpka Ame amekuja kuingia kucheza?
Kuna watu wanatakiwa wawajibike hapo hata kama Caf wakitufungia macho.
 
Taarifa hii ya TFF haijitoshelezi na haijibu hoja husika

Taarifa hiyo ilitakiwa ifafanunue huyo mchezaji aliyeingia sub alivaa jezi namba ngapi na ndiyo hiyo iliyowasilishwa kwa mamlaka husika kabla ya mechi?
Hapo wamekwepa kujibu hoja. Inaonesha kiasi Gani wahusika wa TFF ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa hata kuelewa kinachohojiwa hapo.
 
Mkuu wala Caf haihusiki na ujinga watu wetu walioufanya., yaani malalamiko yananda Caf badala ya mtu aliyepeleka majina ya wachezaji wetu kwa waratibu?
Kuna uzembe ulifanyika mahali, ila sasa tunataka kuona kama tumeundiwa zengwe wakati sie wenyewe ndio tumejihujumu.
Halafu hayo majina huwa yanapelekwa saa moja kabla ya mechezo kuanza, ina maana hakuna mtu ayegundua hicho kitu mpka Ame amekuja kuingia kucheza?
Kuna watu wanatakiwa wawajibike hapo hata kama Caf wakitufungia macho.
Wana hoja dhaifu sana
 
Back
Top Bottom