Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Achana na hiyo clip kwanza, hebu tuwekee na ya Masanja ile juzi akiwa anaongea mashudu mbele ya halaiki kubwa kama ile...
Hapo kwenye uvaaji matambara na manguo makubwa umepigilia msumari! Comedy ya kitanzania lazima wanaume wenye ndevu zao wavae kama wanawake na waweke matambara makalioni!!!Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data langu kumtazama mchekeshaji wa Kibongo .
Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji.
Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani.
1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu.
2. Wanadhani mpaka leo mavazi yanaweza kumchekesha mtu.
3. Komedi ya Bongo ni kwa Watanzania tu kwani inabeba mazingira ya Kibongo tu.
4. Imejaa kelele(uropokaji) tu haijulikani inahusu nini.
Hebu cheki hii clip chini ujionee comedy ya wenzetu.
View attachment 2040040
Ujinga mtupuHapo kwenye uvaaji matambara na manguo makubwa umepigilia msumari! Comedy ya kitanzania lazima wanaume wenye ndevu zao wavae kama wanawake na waweke matambara makalioni!!!
Mimi sikuwepo na sijatazama kwenye runinga ile shughuli.
Tangu kitambo nilijua kuwa Masanja hajui comedy sema tu anaishi kwa ngekewa. Si unajua Bongo kujuana na ngekewa ndio kila kitu.
Original komedi ilikuwa overated sana enzi zile
Lakini Joti anajitahidi sana ukweli usemwe,
Hao wengine sijaona ila kwa Joti angalau anaweza kukufanya ucheke, napenda anavyoweza kubadilika badilika kuanzia Mtoto, kijana mtukutu, kijana wa makamo, dada wa mjini hadi mzee kikongwe,
I love that.
Na yule Marehemu kwa Sasa Dr shikaMlevi mmoja kutoka kurasini anaitwa piere naye akaitwa comedian
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app