kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Joti na marehemu mzee majuto(RIP) wamekua bora sana kwangu. Hawa wengine wanunue bando waone wenzao wanafanya niniLakini Joti anajitahidi sana ukweli usemwe,
Hao wengine sijaona ila kwa Joti angalau anaweza kukufanya ucheke, napenda anavyoweza kubadilika badilika kuanzia Mtoto, kijana mtukutu, kijana wa makamo, dada wa mjini hadi mzee kikongwe,
I love that.