Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Wewe chawa hujauliza swali bali umepinga kuwa hizo picha siyo shule za Tanzania nimekuwekea na video nikakuuliza kuwa na hii siyo Tanzania? Badala ya kujibu unarukaruka tu kama popcorn.
Sasa japo huna akili kichwani. Naomba unijibu swali langu kuwa ni Shule gani ya msingi ya serikali hapa Nchini Inayovaa hiyo sare nyekundu kwa upande wa sketi na suruali? Au hata shule haujawahi kuhudhuria?
 
Kubali wewe kapuku ili wakutumie michango tuifedede.
Hapana ephen wangu hiyo haiwezekani. Huyo kapuku ndio sawa na yule chizi mwenzake Chief uchwara aliyekuwa anataka kukudanganya kuwa eti ana kampuni yake. Utafikiri kuna kampuni inaweza kumilikiwa na machizi.Si unajua watu wanavyokumezea mate humu.
 
Sasa japo huna akili kichwani. Naomba unijibu swali langu kuwa ni Shule gani ya msingi ya serikali hapa Nchini Inayovaa hiyo sare nyekundu kwa upande wa sketi na suruali? Au hata shule haujawahi kuhudhuria?
Itoshe tu kusema wewe huna akili hata kidogo, umeona nimekupiga za uso na hiyo video unabaki kuruka ruka tu. Uchawa kwa Samia umekutoa ufahamu kabisa upo kama msukule tu, ndiyo maana unaambulia vikazi vya msimu tu kuandikisha wapiga kura , huwezi kupewa kazi inayohitaji matumizi ya akili. Utasugua sana benchi hadi matako yaote sigda.
 
Jibu maswali yangu dogo . Acha ngonjera na mashairi Utafikiri upo kwenye mafunzo ya komonio.
 
Naona unawaza kula tu kama vikinda vya ndege vinavyokuwa vimeachama mdomo muda wote. Mwanaume anawaza kazi na mipango ya maendeleo na siyo kula kula tu Utafikiri kuku wa kienyeji.

Uwaze maendeleo wewe? I bet wewe Hufikii hata nusu ya nilichonacho. Kimaendeleo.

Nikotayari uweka identity yangu hadharani kwa mtu unaemuamini uweke bank statement yangu na kitambulisho changu,
 
Uwaze maendeleo wewe? I bet wewe Hufikii hata nusu ya nilichonacho. Kimaendeleo.

Nikotayari uweka identity yangu hadharani kwa mtu unaemuamini uweke bank statement yangu na kitambulisho changu,
Tangia lini ukaona Elfu kumi ikipiga makelele mfukoni kama debe tupu? Lakini si unaonaga namna Mia mbili ikikaa na hamsini zinavyopiga Makele? Sasa Elfu kumi na mia ni ipi yenye thamani? Ukiona mwanaume unaanza kujitapa kuwa una hela. Basi ujue wewe ni chizi. Itoshe kusema kuwa wewe ni kichaa usiyejitambua na unayepaswa kuwahishwa Mirembe na ndugu zako.
 
Nyoo jiamini we si mwanaume
 
Nyoo jiamini we si mwanaume
Kwa hiyo wewe hujiamini kuwa ni Mwanaume? Au ni mpaka ujitangaze kuwa wewe ni mwanaume kama matangazo ya waganga wa kienyeji mitaani? Kwani watu hawafahamu kuwa wewe ni mwanaume? Au huwa wanakwambia wewe ni mwanamke?
 
Kwani Nchi ambazo wanafunzi wao wanakaa chini na kukosa madarasa na huduma zingine.Je wao hawakusanyi kodi? Tujifunze kupongeza pale serikali inapofanya vizuri.
Nikikuwekea picha mnato na picha mjongeo na ukasikia sauti watoto (wanafunzi), walimu na wazazi wakilalamika kuhusu shule kukosa miundombinu na vitendea kazi utakubali kuwa serikali inakusanya kodi lakini hairudishi hiyo kodi kwa wananchi hasa wa vijijini!!???
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kumekuwa na utamaduni na tabia ya baadhi ya watanzania wachache wenye wivu na chuki binafsi za kuchukua picha mitandaoni kutoka Nchi za nje ya Tanzania na kuziweka mtandaoni na kusema ni Tanzania.

Picha hizo zimekuwa ni zile zenye kuchafua Taswira nzuri ya maendeleo na mafanikio tuliyoyapata na kufikia kama Taifa. Imekuwa ni kawaida kuona mtu anachukua picha ya wanafunzi au kipande cha barabara kibovu na kisicho pitika kutoka nchi fulani barani Afrika Na kusema ni Tanzania.

Lengo likiwa ni kuichafua na kuipaka Matope serikali yetu na kuonyesha kuwa haifanyi kazi. Jambo ambalo siyo la kweli hata kidogo. Kwa kuwa Watanzania wote wanafahamu namna serikali ilivyofanya kazi kubwa ya kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya Mwananchi zenye ubora wa kiwango cha juu.

View attachment 3233233

Kuna picha hiyo hapo juu watu wameiweka mtandaoni ikionyesha wanafunzi waliovalia sare nyekundu kwa upande wa sketi na suruali pamoja na shati jeupe na kusema kuwa ni Tanzania wakiwa wamekaa kwenye matofali na darasa bovu la miti na lililokandikwa kwa udongo huku likiwa linapitisha Maji Ma tupu chini . Jambo hilo ni la uongo kwa sababu hakuna sare ya aina hiyo inayotumika na kuvaliwa katika shule za serikali kwa upande wa shule za Msingi.

Rai yangu ni kuwaasa na kuwataka watanzania kuacha tabia hiyo mbaya na isiyokubalika ya kuichafua na kuipaka Matope serikali yetu kwa chuki binafsi. Tuache kueneza upotoshaji na habari za uongo kwa malengo Binafsi. Tuendelee kuiunga Mkono serikali yetu na kushiriki katika shughuli za maendeleo kwa kulinda Miundombinu ambayo imekuwa ikijengwa kila kona ya Nchi yetu pasipo kumchangisha hata mia Mwananchi.

Embu Tazama hapa kama Sample Namna serikali yetu ilivyojenga shule kwa ubora na kuvutia Utafikiri ulaya pasipo kuomba michango kutoka kwa watanzania.

View attachment 3233120View attachment 3233121

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sio shule tu,hata mengi yanayosemwa dhidi ya serekali,hyana ukweli wowote,wananchi wengi wenye akili,wameshtuka,maendeleo yanaonekena,ziko shule zilijengwa na serekali miaka iliuopita sasa,hivi zinajengwa upya na kisasa,na nyingine zimeshakamilika.Mwenye macho,haambiwi tizama,ningekuwa na kibali ya kuzipiga picha ningezipiga.
 
Nikikuwekea picha mnato na picha mjongeo na ukasikia sauti watoto (wanafunzi), walimu na wazazi wakilalamika kuhusu shule kukosa miundombinu na vitendea kazi utakubali kuwa serikali inakusanya kodi lakini hairudishi hiyo kodi kwa wananchi hasa wa vijijini!!???
Hiyo picha niliyoiweka hapa ni ya Tanzania? Jibu hili swali hili kwanza?
 
Back
Top Bottom