Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Wewe chawa hujauliza swali bali umepinga kuwa hizo picha siyo shule za Tanzania nimekuwekea na video nikakuuliza kuwa na hii siyo Tanzania? Badala ya kujibu unarukaruka tu kama popcorn.
Sasa japo huna akili kichwani. Naomba unijibu swali langu kuwa ni Shule gani ya msingi ya serikali hapa Nchini Inayovaa hiyo sare nyekundu kwa upande wa sketi na suruali? Au hata shule haujawahi kuhudhuria?
 
Kubali wewe kapuku ili wakutumie michango tuifedede.
Hapana ephen wangu hiyo haiwezekani. Huyo kapuku ndio sawa na yule chizi mwenzake Chief uchwara aliyekuwa anataka kukudanganya kuwa eti ana kampuni yake. Utafikiri kuna kampuni inaweza kumilikiwa na machizi.Si unajua watu wanavyokumezea mate humu.
 
Sasa japo huna akili kichwani. Naomba unijibu swali langu kuwa ni Shule gani ya msingi ya serikali hapa Nchini Inayovaa hiyo sare nyekundu kwa upande wa sketi na suruali? Au hata shule haujawahi kuhudhuria?
Itoshe tu kusema wewe huna akili hata kidogo, umeona nimekupiga za uso na hiyo video unabaki kuruka ruka tu. Uchawa kwa Samia umekutoa ufahamu kabisa upo kama msukule tu, ndiyo maana unaambulia vikazi vya msimu tu kuandikisha wapiga kura , huwezi kupewa kazi inayohitaji matumizi ya akili. Utasugua sana benchi hadi matako yaote sigda.
 
Jibu maswali yangu dogo . Acha ngonjera na mashairi Utafikiri upo kwenye mafunzo ya komonio.
 
Naona unawaza kula tu kama vikinda vya ndege vinavyokuwa vimeachama mdomo muda wote. Mwanaume anawaza kazi na mipango ya maendeleo na siyo kula kula tu Utafikiri kuku wa kienyeji.

Uwaze maendeleo wewe? I bet wewe Hufikii hata nusu ya nilichonacho. Kimaendeleo.

Nikotayari uweka identity yangu hadharani kwa mtu unaemuamini uweke bank statement yangu na kitambulisho changu,
 
Uwaze maendeleo wewe? I bet wewe Hufikii hata nusu ya nilichonacho. Kimaendeleo.

Nikotayari uweka identity yangu hadharani kwa mtu unaemuamini uweke bank statement yangu na kitambulisho changu,
Tangia lini ukaona Elfu kumi ikipiga makelele mfukoni kama debe tupu? Lakini si unaonaga namna Mia mbili ikikaa na hamsini zinavyopiga Makele? Sasa Elfu kumi na mia ni ipi yenye thamani? Ukiona mwanaume unaanza kujitapa kuwa una hela. Basi ujue wewe ni chizi. Itoshe kusema kuwa wewe ni kichaa usiyejitambua na unayepaswa kuwahishwa Mirembe na ndugu zako.
 
Nyoo jiamini we si mwanaume
 
Nyoo jiamini we si mwanaume
Kwa hiyo wewe hujiamini kuwa ni Mwanaume? Au ni mpaka ujitangaze kuwa wewe ni mwanaume kama matangazo ya waganga wa kienyeji mitaani? Kwani watu hawafahamu kuwa wewe ni mwanaume? Au huwa wanakwambia wewe ni mwanamke?
 
Kwani Nchi ambazo wanafunzi wao wanakaa chini na kukosa madarasa na huduma zingine.Je wao hawakusanyi kodi? Tujifunze kupongeza pale serikali inapofanya vizuri.
Nikikuwekea picha mnato na picha mjongeo na ukasikia sauti watoto (wanafunzi), walimu na wazazi wakilalamika kuhusu shule kukosa miundombinu na vitendea kazi utakubali kuwa serikali inakusanya kodi lakini hairudishi hiyo kodi kwa wananchi hasa wa vijijini!!???
 
Sio shule tu,hata mengi yanayosemwa dhidi ya serekali,hyana ukweli wowote,wananchi wengi wenye akili,wameshtuka,maendeleo yanaonekena,ziko shule zilijengwa na serekali miaka iliuopita sasa,hivi zinajengwa upya na kisasa,na nyingine zimeshakamilika.Mwenye macho,haambiwi tizama,ningekuwa na kibali ya kuzipiga picha ningezipiga.
 
Hiyo picha niliyoiweka hapa ni ya Tanzania? Jibu hili swali hili kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…