Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Niliwaambia jamani kwamba likija taahira langu li headless chicken Lucas Mwashambwa litasema shule ya Malawi hiyo! Sasa kiko wapi si hili hapa!!
 
Hamna kitu hapo mnaiacha kumsifu Mungu aliyewapa punzi ya uhai mnasifia binadamu kwa kodi zenu wenyewe!!

Kweli ujinga ni mzigo!! Imba sifa kwa Mungu si Samia 😅😅🤔🤔
Na wewe fanya kazi na uonyeshe Matokeo Chanya ili tukusifie.
 
Serikali inatimiza wajibu wake si lazima kupongezwa. Wanaopaswa kupongezwa ni walipa kodi maana pesa ni yao
Wangapi wanapewa dhamana ya uongozi na wanashindwa kutimiza wajibu wao? Unafikiri wacongo hawalipi kodi na kulipa wanajeshi lao? Sasa unaona kinachoendelea Congo?
 
Nitapiga picha majengo ya shule ya msingi huku nilipo alafu utaniambia je, ni sahihi kuwa na shule ya aina hii
 
Wangapi wanapewa dhamana ya uongozi na wanashindwa kutimiza wajibu wao? Unafikiri wacongo hawalipi kodi na kulipa wanajeshi lao? Sasa unaona kinachoendelea Congo?
Hakuna haja ya pongezi. Kila mtu na afanye kazi aliyopewa. Pongezi ni mshahara wake
 
😂😂Mapenzi ni ujinga sana……Ww unasema hakuna watoto wanao soma mazingira kama hayo uskute uko zako mjini unabwabwaja tu.
 
😂😂Mapenzi ni ujinga sana……Ww unasema hakuna watoto wanao soma mazingira kama hayo uskute uko zako mjini unabwabwaja tu.
Embu nijibu kuwa ni shule gani hapa Nchini yenye kuvaa sare za aina hiyo?
 
Umeongeza kujiumbua. Unapopost vitu vya kweli unazidi kukipaka kinyesi chama na serikali.
 
Hamna kitu hapo mnaiacha kumsifu Mungu aliyewapa punzi ya uhai mnasifia binadamu kwa kodi zenu wenyewe!!

Kweli ujinga ni mzigo!! Imba sifa kwa Mungu si Samia 😅😅🤔🤔
Mungu ndiye aliyekufundisha kusoma na kuandika? Mungu ndiye anakulipa mshahara? Mungu ndiye anakutibu Malaria? PUMBAVU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…