Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Huu uzi niliuona jana kwa haraka ila sikuona mwandishi sasa Leo ndo naona mwashambwa aisee wewe kaka una roho mbaya saaana zunguka mwenyewe uone CCM wanachowafanyia watoto wetu.zaidi ya 40% wanakaa chini tena mjini.kwa kweli Mimi kama muujiza unakuja napata madaraka nawanyonga wanaccm wote.
 
Acha uongo wako hapa wewe. Serikali imejenga madarasa mazuri na bora kuwahi kutokea katika Historia ya Taifa letu.
 
Niwie radhi mkuu, huyu tumuite msukule.
Huyu hata ukiweka mavi na yeye mavi yanabakia kuwa yana thamani kwa kuwa mavi yanatoa hata mbolea......

Hata misukule ina faida kwani inashiriki katika njia za uzalishaji ingawa katika mazingira tata.......

HUYU NI MWENDAWAZIMU....maana mwendawazimu hawezi kutumika kwenye jambo lolote lile....
 
Acha uongo wako hapa wewe. Serikali imejenga madarasa mazuri na bora kuwahi kutokea katika Historia ya Taifa letu.
Mkuu uongo unisaidie nini??fanya utafiti mwenyewe kabla ya kusifia watoto wengi wanakaa chini ni kama wapo vitani kule goma.
 
Umesamehewa makosa yako yote bure kabisa maana hujui ulitendalo. Ukikua na kukomaa akili utaacha kufanya ujinga. Ila kwa sasa bado hujawahi na akili Timamu
 
hahaha .sioni cha ajabu hapo.mimi nilianza kusomea chini ya mti.leo ni daktari bingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…