moyo wenye aman i
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 177
- 297
Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye aibu huchutama ila wao husimama,vipande vya fedha kwanza utu baadae!Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee