Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii ni hatari nsVyombo vingi vya habari siku hizi havilipi mishahara waandishi wake hivyo waandishi hutegemea wanasiasa kuendesha maisha yaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni hatari nsVyombo vingi vya habari siku hizi havilipi mishahara waandishi wake hivyo waandishi hutegemea wanasiasa kuendesha maisha yaa.
Wewe unakumbuka vizuri sana enzi zenu kwa sababu Uhuru uliokuwa nao kwenye Kiti Moto Ndio umekuheshimisha hadi leoDuh...!
P
Kabisa.Wewe unakumbuka vizuri sana enzi zenu kwa sababu Uhuru uliokuwa nao kwenye Kiti Moto Ndio umekuheshimisha hadi leo
Halafu kuna yule jamaa Adam nani Sijui alikuwa anaendesha kipindi cha Malumbano ya Hoja dah ..... Mungu wa mbinguni awabariki sana Wana Habari wa zama zile!
😂😂😂 Ndio wengi wanaomjua Pascal wa Kiti Moto wanamuona Pascal wa leo kama ananyemelea UteuziKabisa.
Nakumbuka tulivyokuwa tunafurika pale ukumbi wa Simba Grill kwenye Hotel ya Kilimanjaro kusubiri kurekodiwa na Pascal Mayalla kwenye kipindi cha " kiti moto" cha zama zile.
Unajuiliza kina Pasco kimewakumba Nini mpaka wamekumbwa na ubaridi Wa kuandika habari kama zile za zamani??
Naona Ile ya kuelezewa na shujaa kuwa Mayala kikwao ni njaa, jamaa akaingiwa na kinyongo.😂😂😂 Ndio wengi wanaomjua Pascal wa Kiti Moto wanamuona Pascal wa leo kama ananyemelea Uteuzi
Pascal wa Kiti Moto alikuwa Simba!
Manyerere yeye aliomba kabisa kwa Maguful ila Shujaa akampotezea 😂Naona Ile ya kuelezewa na shujaa kuwa Mayala kikwao ni njaa, jamaa akaingiwa na kinyongo.
Aliogopa kuonekana njaa ndiyo inamfanya awe mwandishi wa habari.
Na uteuzi anautamani kweli kama rafiki yake Mtatiro alivyokuwa anautamani.
😏😏😏
Jacton naye nakumbuka yale mambo yake na Neville Meena!!Manyerere yeye aliomba kabisa kwa Maguful ila Shujaa akampotezea 😂
trueVyombo vingi vya habari siku hizi havilipi mishahara waandishi wake hivyo waandishi hutegemea wanasiasa kuendesha maisha yaa.