Tanzania hatuna Wanahabari bali tunao tu Waandishi/ Watangazaji wa Habari zilizokamilika ndio sababu ni rahisi sana kuwadhibiti

Duh...!
P
Wewe unakumbuka vizuri sana enzi zenu kwa sababu Uhuru uliokuwa nao kwenye Kiti Moto Ndio umekuheshimisha hadi leo

Halafu kuna yule jamaa Adam nani Sijui alikuwa anaendesha kipindi cha Malumbano ya Hoja dah ..... Mungu wa mbinguni awabariki sana Wana Habari wa zama zile!
 
Kabisa.

Nakumbuka tulivyokuwa tunafurika pale ukumbi wa Simba Grill kwenye Hotel ya Kilimanjaro kusubiri kurekodiwa na Pascal Mayalla kwenye kipindi cha " kiti moto" cha zama zile.

Unajuiliza kina Pasco kimewakumba Nini mpaka wamekumbwa na ubaridi Wa kuandika habari kama zile za zamani??
 
😂😂😂 Ndio wengi wanaomjua Pascal wa Kiti Moto wanamuona Pascal wa leo kama ananyemelea Uteuzi

Pascal wa Kiti Moto alikuwa Simba!
 
Naona Ile ya kuelezewa na shujaa kuwa Mayala kikwao ni njaa, jamaa akaingiwa na kinyongo.

Aliogopa kuonekana njaa ndiyo inamfanya awe mwandishi wa habari.

Na uteuzi anautamani kweli kama rafiki yake Mtatiro alivyokuwa anautamani.
😏😏😏
 
Manyerere yeye aliomba kabisa kwa Maguful ila Shujaa akampotezea 😂
 
Back
Top Bottom