Tanzania hatupo katika nchi kumi bora zenye usalama kutembelewa barani afrika hasa katika utalii

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
Africa's Safest Countries To Visit for 2019

1.๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ Rwanda
2.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ Botswana
3.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ Mauritius
4.๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ Namibia
5.๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ Seychelles
6.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco
7.๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopia
8.๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ Lesotho
9.๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Zambia
10.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kenya

Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
 
Watalii wataendaje sehemu zisizo na vivutio vya kipekee?
 
Wametumia kigezo gani cha kurank hizo nchi? Labda ingekuwa 2020 kidogo wangejitetea ni korona ila kwa 2019 wamechemka.

Hapo naamini ni propqganda za kipumbavu. 2019 hatukuwa na vita, hatukuwa na mlipuko wa magonjwa, hatukuwa na attack yoyote ya terrorism, hatukuwa na machafuko ya kisiasa, hakuna mtalii aliyefika Tanzania na kushambuliwa na vibaka au majambazi,, n.k

Why waseme hatupo kwenye top 10?

"Za kuambiwa changanya na zako,," By Jk
 
Mkuu RoU, utaonekana wewe ni mpingaji wa takwimu sahihi na sizokuwa na shaka yoyote ndani ya "submission" ya mwisho iliyotolewa wakati Mkuu akilivunja Bunge mwaka huu.
 
We jamaa huwa unatia aibu sana na nyuzi zako.Source zako sijui huwa zipi hata link hazina.
 
Africa's Safest Countries To Visit for 2019

1.[emoji1206] Rwanda
2.[emoji1052] Botswana
3.[emoji1164] Mauritius
4.[emoji1176] Namibia
5.[emoji1213] Seychelles
6.[emoji1173] Morocco
7.[emoji1098] Ethiopia
8.[emoji1147] Lesotho
9.[emoji1268] Zambia
10.[emoji1139] Kenya

Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
Akili za kuambiwa changanya na zako ivi Kenya ambayo Al sha bab wanaingia had Nairobi iwe safe sisi tusiwe kwa Vita gan ,ugaidi gan!?

Rwanda makundi ya kiasi yanahangaika kuipindua serikal since ,1994 iwe safe ss tusiwe....na tuko na peace since 1961[emoji2][emoji3][emoji3]

Wajinga tu ndo watakubaliana na hizi takwimu uchwara
 
We jamaa bado hujafikisha thread za kulipwa kwa leo?,. Huu ni mwaka 2019?, Halafu hiyo Safari bookings ni taasisi ya nchi gani ya kutoa takwimu Africa?
Ya kenya hiyo ๐Ÿคฃ,hlf msela kakurupuka kutupia tu hajaangalia hata ilitungwa mwaka gani
 
Africa's Safest Countries To Visit for 2019

1.[emoji1206] Rwanda
2.[emoji1052] Botswana
3.[emoji1164] Mauritius
4.[emoji1176] Namibia
5.[emoji1213] Seychelles
6.[emoji1173] Morocco
7.[emoji1098] Ethiopia
8.[emoji1147] Lesotho
9.[emoji1268] Zambia
10.[emoji1139] Kenya

Source: Safari Bookings and SlateAfrica.

Hii ni ya mwaka 2019 tupe ya 2020 kamanda
 
Akili za kuambiwa changanya na zako ivi Kenya ambayo Al sha bab wanaingia had Nairobi iwe safe sisi tusiwe kwa Vita gan ,ugaidi gan!?

Rwanda makundi ya kiasi yanahangaika kuipindua serikal since ,1994 iwe safe ss tusiwe....na tuko na peace since 1961[emoji2][emoji3][emoji3]

Wajinga tu ndo watakubaliana na hizi takwimu uchwara
Wazungu uarabuni wanaenda ambako wanawindwa na magaidi kama panya. Libya, siria ambako kuna machafuko ya kufa mtu wazungu toka ulaya hawajaacha kwenda kutalii. Kwa hiyo vurugu sijui vita sio issue sana kwao. Wanacho ogopa sana ni nchi ambazo zina magonjwa au hazina taarifa zinazoeleweka kuhusu magonjwa. Usione wakenya wanahangaika na kuweka wazi taarifa za corona wajua wanachokifanya, huwezi ukajifananisha nao wewe ambaye unajisifu tu kwamba umemaliza corona bila takwinu. Wazungu wenzetu wameondoka kwenye maisha ya ramli siku nyingi wanachoamini ni namba juu ya meza basi, hicho ndo kimewafikisha kwenye dotcom.
 
Mkuu najua unaongelea corona....hyo report n ya 2019...cyo 2020....hata hivo Seychelles nayo haitoi izo taarifa
 
Wazungu uarabuni wanaenda ambako wanawindwa na magaidi kama panya. Libya, siria ambako kuna machafuko ya kufa mtu wazungu toka ulaya hawajaacha kwenda kutalii. Kwa hiyo vurugu sijui vita sio issue sana kwao. Wanacho ogopa sana ni nchi ambazo zina magonjwa au hazina taarifa zinazoeleweka kuhusu magonjwa. Usione wakenya wanahangaika na kuweka wazi taarifa za corona wajua wanachokifanya, huwezi ukajifananisha nao wewe ambaye unajisifu tu kwamba umemaliza corona bila takwinu. Wazungu wenzetu wameondoka kwenye maisha ya ramli siku nyingi wanachoamini ni namba juu ya meza basi, hicho ndo kimewafikisha kwenye dotcom.

Katika wajinga we ni namba moja, yaani kutangza wagonjwa ndo kunaongeza wageni,

kwa hiyo hao wazungu wanapenda taarifa nyingi za wagonjwa ndo sehemu sarama ya kwenda?

Kama hao kenya wanatangaza wagonjwa wanaongezeka basi sisi tulitangaza wagonjwa kuisha mahospitalini, sasa hapo nani ana ahuweni?

Na kama una mgonjwa au mtu kafa kwa corona nenda kamtangazie kenya ili waongeze watalii.
 
Back
Top Bottom