Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
We jamaa bado hujafikisha thread za kulipwa kwa leo?,. Huu ni mwaka 2019?, Halafu hiyo Safari bookings ni taasisi ya nchi gani ya kutoa takwimu Africa?Africa's Safest Countries To Visit for 2019
Akili za kuambiwa changanya na zako ivi Kenya ambayo Al sha bab wanaingia had Nairobi iwe safe sisi tusiwe kwa Vita gan ,ugaidi gan!?Africa's Safest Countries To Visit for 2019
1.[emoji1206] Rwanda
2.[emoji1052] Botswana
3.[emoji1164] Mauritius
4.[emoji1176] Namibia
5.[emoji1213] Seychelles
6.[emoji1173] Morocco
7.[emoji1098] Ethiopia
8.[emoji1147] Lesotho
9.[emoji1268] Zambia
10.[emoji1139] Kenya
Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
Ya kenya hiyo π€£,hlf msela kakurupuka kutupia tu hajaangalia hata ilitungwa mwaka ganiWe jamaa bado hujafikisha thread za kulipwa kwa leo?,. Huu ni mwaka 2019?, Halafu hiyo Safari bookings ni taasisi ya nchi gani ya kutoa takwimu Africa?
Africa's Safest Countries To Visit for 2019
1.[emoji1206] Rwanda
2.[emoji1052] Botswana
3.[emoji1164] Mauritius
4.[emoji1176] Namibia
5.[emoji1213] Seychelles
6.[emoji1173] Morocco
7.[emoji1098] Ethiopia
8.[emoji1147] Lesotho
9.[emoji1268] Zambia
10.[emoji1139] Kenya
Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
Wazungu uarabuni wanaenda ambako wanawindwa na magaidi kama panya. Libya, siria ambako kuna machafuko ya kufa mtu wazungu toka ulaya hawajaacha kwenda kutalii. Kwa hiyo vurugu sijui vita sio issue sana kwao. Wanacho ogopa sana ni nchi ambazo zina magonjwa au hazina taarifa zinazoeleweka kuhusu magonjwa. Usione wakenya wanahangaika na kuweka wazi taarifa za corona wajua wanachokifanya, huwezi ukajifananisha nao wewe ambaye unajisifu tu kwamba umemaliza corona bila takwinu. Wazungu wenzetu wameondoka kwenye maisha ya ramli siku nyingi wanachoamini ni namba juu ya meza basi, hicho ndo kimewafikisha kwenye dotcom.Akili za kuambiwa changanya na zako ivi Kenya ambayo Al sha bab wanaingia had Nairobi iwe safe sisi tusiwe kwa Vita gan ,ugaidi gan!?
Rwanda makundi ya kiasi yanahangaika kuipindua serikal since ,1994 iwe safe ss tusiwe....na tuko na peace since 1961[emoji2][emoji3][emoji3]
Wajinga tu ndo watakubaliana na hizi takwimu uchwara
Mkuu najua unaongelea corona....hyo report n ya 2019...cyo 2020....hata hivo Seychelles nayo haitoi izo taarifaWazungu uarabuni wanaenda ambako wanawindwa na magaidi kama panya. Libya, siria ambako kuna machafuko ya kufa mtu wazungu toka ulaya hawajaacha kwenda kutalii. Kwa hiyo vurugu sijui vita sio issue sana kwao. Wanacho ogopa sana ni nchi ambazo zina magonjwa au hazina taarifa zinazoeleweka kuhusu magonjwa. Usione wakenya wanahangaika na kuweka wazi taarifa za corona wajua wanachokifanya, huwezi ukajifananisha nao wewe ambaye unajisifu tu kwamba umemaliza corona bila takwinu. Wazungu wenzetu wameondoka kwenye maisha ya ramli siku nyingi wanachoamini ni namba juu ya meza basi, hicho ndo kimewafikisha kwenye dotcom.
Wazungu uarabuni wanaenda ambako wanawindwa na magaidi kama panya. Libya, siria ambako kuna machafuko ya kufa mtu wazungu toka ulaya hawajaacha kwenda kutalii. Kwa hiyo vurugu sijui vita sio issue sana kwao. Wanacho ogopa sana ni nchi ambazo zina magonjwa au hazina taarifa zinazoeleweka kuhusu magonjwa. Usione wakenya wanahangaika na kuweka wazi taarifa za corona wajua wanachokifanya, huwezi ukajifananisha nao wewe ambaye unajisifu tu kwamba umemaliza corona bila takwinu. Wazungu wenzetu wameondoka kwenye maisha ya ramli siku nyingi wanachoamini ni namba juu ya meza basi, hicho ndo kimewafikisha kwenye dotcom.