Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Sio wote waliao wanaomboleza, wala wote wachekao wamefurahi, japo kulia na kucheka zote ni kelele.
 
"....Sasa hivi imekuwa kawaida sana taarifa za siri ndani ya serikali kuonekana mtaani. TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti lakini wengi wao wanakiuka viapo vyao...!

Nimecheka Sana....kwamba jamaa wanaonekana kama wachomelea mageti au wachoma mkaa mtaani!!!
 
Wivu wa kike
 
Naona unajipigia debe upate ulaji cha ajabu ukishapata tu unasahau yote haya uliyoandika nawewe unakua mvujishaji siri sasa......
 
Mdau kuwa nae makini huyo anakuambia hana email insta wala twita humu jf kaingilia na nini???
 
Hiyo corona inaua viongozi tu?

Basi kaugonjwa kazuri
 
Njaa kali huyo anatafuta teuzi
 
Inabidi tuwekeze sana kwenye teknolojia,nasisitiza tena tuwekeze kwenye teknolojia na tuanze kuwaandaa vijana wetu wenye 13yrs kwenye izi issue za tech toafauti na hapo kuna siku zitavuja taarifa ambazo zitazua taharuki hadi madhabahuni
Ilo fungu lipo la kuwekeza huko
 
Mmeficha ugonjwa wake wee mtu akisema Rais anauwa mnamkaata, sasa mmeumbuka kuificha maiti mmeshidwa sasa mnaitebeza ili aonekane alikuwa lulu ya taifa!!
Hapa kweli CCM wameumbuka!! Waswahili walisema " mficha maradhi msiba utamwumbua" hakika methali hii imetimia kwa Wana-CCM. Ni aibu tupu.
 
TISS wana kazi nyingi. TISS wanaweza side na upinzani kupinga baadhi ya mienendo ya serikali ijisahhishe. Kwahiyo inaweza kuwa strategy.
Mf. hizo taarifa za kuchota Billion 86 BoT. Wanavujisha ili watu wawajibishwe!
Kuvuruga mfumo wa utawala bora kunaliangamiza taifa. Huu si uchotaji wa kwanza, ni mazoea na utaratibu wa kawaida kwa serikali ya CCM.
 
Mmeficha ugonjwa wake wee mtu akisema Rais anauwa mnamkaata, sasa mmeumbuka kuificha maiti mmeshidwa sasa mnaitebeza ili aonekane alikuwa lulu ya taifa!!

Huwezi kuonekana Lulu ya taifa pasipo na ukweli!

Bahati mbaya sana, huwezi tumia kifo chako kama beit ya kudhibitisha Uwezo wako pasipo reality taking over!
 
Iyo pesa ya kuwekeza kwenye teknolojia ipo?? Maana naona fungu la bajeti kabisa wizara fulani hapa nchini..

Technology & Infos ni wizara kamili!

Inastahili Waziri mbobevu in techs na heshima ya pekee kwao!

Tuko tayari for all the sacrifices involving “Techs & Infos department?!”

It’s painfully laughable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…