Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Mwamba ameongelea ethics za TISS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo Ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TISS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa Ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TISS na huku ni mwana CCM.

Awe CCM kwa kazi maalumu tuu. Lkn siyo kuwa kindakindaki. Tunaitaji kuwa na Strong institution na siyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba JPM! UlichokifanyaTz!

Kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya JPM! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Sio wote waliao wanaomboleza, wala wote wachekao wamefurahi, japo kulia na kucheka zote ni kelele.
 
"....Sasa hivi imekuwa kawaida sana taarifa za siri ndani ya serikali kuonekana mtaani. TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti lakini wengi wao wanakiuka viapo vyao...!

Nimecheka Sana....kwamba jamaa wanaonekana kama wachomelea mageti au wachoma mkaa mtaani!!!
 
Naona unajipigia debe upate ulaji cha ajabu ukishapata tu unasahau yote haya uliyoandika nawewe unakua mvujishaji siri sasa......
 
Nimekuelewa kabisa, kwamba:
1. Watengeneze VLAN yao peke yao Tanzania nzima
2. Watumie encryption---data zao zote ziwe zinakuwa routed zikiwa encrypted
3. Watumie PUK codes kuhakikisha simu-card zao ziko locked

Kwa hali ya namna hii. anayeweza ku-leakisha taarifa uwezekano mkubwa ni yule ambaye ni mmoja wao, kwa yule wa nje inakuwa SIYO KAZI RAHISI SANA, japo inawezekana pia
Mdau kuwa nae makini huyo anakuambia hana email insta wala twita humu jf kaingilia na nini???
 
Ninachoona ni kuwa Magufuli amefariki baada ya kujigaragaza kwenye Corona huku akijipiga piga kifua. Huko kulikuwa ni kumjaribu Mungu! Hilo la kutokujali kuhusu hatari ya Corona ni baadhi ya mambo yanayonifanya nisitikisike hata unywele kwa kifo chake. Yani wasaidizi wako wengi wanasafa na wewe unasema twendeni poa tu? Nawashangaa wanaolia kwa kweli!
Hiyo corona inaua viongozi tu?

Basi kaugonjwa kazuri
 
Wewe nawe acha kutuzuga, eti huna email, haupo twitter na instagram halafu upo hapa JF.

Kwa hiyo kuwepo jf ndio unajiona upo safe sana kwa kuwa unatumia jina la bandia?

Sasa kama huna email, hii JF ulijiungaje? Ulitumia option gani kujiunga JF? Namba ya simu? Unatuchukuliaje dogo? Hivi unajuwa unajadiliana na watu ambao wapo deep sana kwenye nyanja hii.
Njaa kali huyo anatafuta teuzi
 
Inabidi tuwekeze sana kwenye teknolojia,nasisitiza tena tuwekeze kwenye teknolojia na tuanze kuwaandaa vijana wetu wenye 13yrs kwenye izi issue za tech toafauti na hapo kuna siku zitavuja taarifa ambazo zitazua taharuki hadi madhabahuni
Ilo fungu lipo la kuwekeza huko
 
Mmeficha ugonjwa wake wee mtu akisema Rais anauwa mnamkaata, sasa mmeumbuka kuificha maiti mmeshidwa sasa mnaitebeza ili aonekane alikuwa lulu ya taifa!!
Hapa kweli CCM wameumbuka!! Waswahili walisema " mficha maradhi msiba utamwumbua" hakika methali hii imetimia kwa Wana-CCM. Ni aibu tupu.
 
TISS wana kazi nyingi. TISS wanaweza side na upinzani kupinga baadhi ya mienendo ya serikali ijisahhishe. Kwahiyo inaweza kuwa strategy.
Mf. hizo taarifa za kuchota Billion 86 BoT. Wanavujisha ili watu wawajibishwe!
Kuvuruga mfumo wa utawala bora kunaliangamiza taifa. Huu si uchotaji wa kwanza, ni mazoea na utaratibu wa kawaida kwa serikali ya CCM.
 
Mmeficha ugonjwa wake wee mtu akisema Rais anauwa mnamkaata, sasa mmeumbuka kuificha maiti mmeshidwa sasa mnaitebeza ili aonekane alikuwa lulu ya taifa!!

Huwezi kuonekana Lulu ya taifa pasipo na ukweli!

Bahati mbaya sana, huwezi tumia kifo chako kama beit ya kudhibitisha Uwezo wako pasipo reality taking over!
 
Iyo pesa ya kuwekeza kwenye teknolojia ipo?? Maana naona fungu la bajeti kabisa wizara fulani hapa nchini..

Technology & Infos ni wizara kamili!

Inastahili Waziri mbobevu in techs na heshima ya pekee kwao!

Tuko tayari for all the sacrifices involving “Techs & Infos department?!”

It’s painfully laughable!
 
Back
Top Bottom