Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Udikteta ndo waona dili?!! Yan mtu mmoja anakotroo Serikali, anakotroo bunge, anakotroo mahakama?!! Hivi kawa yeye Mungu au?
 
Acha kujitetea ww. Mmefeli big time makada nyie.
Mimi ni mtanzania mzalendo.
Mwana chama hai wa cdm no.xxxx mkoa wa iringa na kadi yangu nailipia.
Sema tu sio mbinafsi kwenye maslah mapana ya taifa
 
Top layer ya state house inaondoka ndani ya mwezi bado unaona shwari tuu kwamba everything is just fine.
U have gt a point..big up kuliona hilo.. Chakujua tu ni kwamba there r pple answerable for dat...na kama wewe na mimi tumeyatazam na kuyajua hyo basi trust me wale wanaotumia zaid ya milango mi 5 ya ufahamu wanalijua hilo zaid.Tuwaachie wenye kaz zao wafanye kazi
 
Njaa kali huyo anatafuta teuzi
hawa ndio wale cv zao zinakuwa na maelezo mengi, page nyingi na nakala kibao za mavyeti ya kozi fupifupi walizosomea. halafu ukiwapa ajira performance inakuwa zero.
 
Kwamba watu watatu tu ndiyo walifanikisha Osama kujulikana alipo acha kutupiga kamba we sema baada ya kujua alipo kwa kutumia CIA NA FBI haikutolewa lini watamshambulia Osama
 
Nawe umekuwa mjinga, toka lini binadamu akaridhika?.
 
Njia pekee ya kulitatua hilo ni kukubali kuivunja system yote ya usalama ile iliyopo karibu na Rais (ikulu),Kisha uundaji wake uzingatie weledi na sio ukada. Vinginevyo SAMIA ataongoza hii nchi akiwa kwenye pressure kubwa sana.
Unavunjaje system nzima wakati hujui chanzo cha tatizo? Suppose information zina leak kwa njia ya system ya mawasialaiano yao kuwa hacked na watu walioko nje ya system yao? Kinachohitajika hapa kwa sasa ni kwamba wanatakiwa warekebishe mfumo wao wa mawasiliano na kuhakikisha kuwa hauwezi kuwa hacked. Wakishafanya hivyo na wakajiridhisha kabisa kuwa hakuna hacking inayoweza kufanyika, lakini still baada ya hapo kukaendelea kuwa na leakage ya taarifa zao, hapo ndiyo sasa wanaweza kurudi kwa watumiaji wa mfumo huo, na ndiyo hapo wanaweza kuvunja system iliyopo ila tu wawe na uhakika kabisa kuwa leakage hiyo haitokani na hacking
 
Zuzu wewe kwani hujui kuwa sisi wananchi tunaolipa kodi tumekuajiri?
Litazame kwanza.
 
Zuzu wewe kwani hujui kuwa sisi wananchi tunaolipa kodi tumekuajiri?
Litazame kwanza.
Mazuzu wa siku amazing in deed.Tunamilik smart phone..Makofi kwa mazuzu waote tafadhali 👏👏
 
Poa tu, si wamewaingiza wenyewe?
 
Adui namba moja ni Corona. Sijui kwanini hatuelewi hili angalieni watu wangapi wamekufa kwa mwaka huu mmoja
 

Unachekesha walionuna Chief!

Niulize waliomuua Ben Saanane kwani nina ushahidi gani kwamba kweli amekufa? Kuna mwili ulipatikana ama hata mabaki yake? Death announcement or even just death certificate ilitoka lini?

Eti Lissu aliuliwa wakenya wakamfufua!? You now making mockery kwa Mungu eeh? Mheshimiwa Lissu si alisema anawafahamu watesi wake and all those who attempted to murder him? Anasubiri nini kuwataja majina tuwatambue nao wapate stahiki yao?

Hizi mind games mnazocheza ain’t even worth anybody’s time basi tu!

Umesema mnaanza upya na liwalo na liwe, right?! Tupo, we are always watching! Kindly entertain us, please!
 

Lakini pia tutazame kwa upande wa viongozi wakubwa wa Serikali waliokua na highest security clearance! Hawa pia sio wa kuwadharau!

We might be barking at the wrong group huku kimya kimya wakifuta footprints zao na tukijakushtuka tayari hata vumbi hakuna!

It’s really rare that the all top officials wa Serikali wakapoteza maisha carelessly within two years!! Tena viongozi waliokua hawachangamani kihivyo na raia wa kawaida!

Something very very dark is going on!
 
Kuna Jambo Raisi mama Samia lazima alifanye ktk kitengo hiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…