Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Kigezo cha kwanza uwe mzalendo yaani mwanaccm....😁😁😁
 
Kweli Na huyu ndie miongoni mwa watu ambai wazungu wanawatumia kuchafua inchi Ila waje wajichotee Mali kama wanavyo fanya Congo au libya
 
Hizo dharau zitaendelea kuwaponza. Mtu yeyote makini hawezi kumchukulia TL kama kamtu kadogo. Mpaka hapa nimekushusha viwango. You are not thinking maturely.

Ni TL ndie kasababisha uchaguzi wote wa 2020 uharibike like nothing else.. unless uwe ni mataga hutanielewa
 
Teknolojoa iko mbali acheni masihara. Nzi anapita juu. Wewe utadhani ni nzi- mdudu kumbe mi drone inarekodi matukio.
 
Hiyo haki ya watesi wake ingepatikanaje kama lissu angewataja kea majina? Nani angeverify hayo majina kuwa kweli ndio hao na nani angeitoa hiyo haki na wapi?
 
Kweli Na huyu ndie miongoni mwa watu ambai wazungu wanawatumia kuchafua inchi Ila waje wajichotee Mali kama wanavyo fanya Congo au libya
Kama Angel Makel mkuu wa nchi iliyoendelea Ujerumani analalamika kudukuliwa na kuhofia usalama wake na taifa sembuse sisi? Technologia imekuwa kiasi kwamba dunia sasa imekuwa kama kitongoji, hakuna umbali wala siri yoyote utamficha mtu asiijue. Mbona hata hapa akina Membe, Makamba, Nape walidukuliwa tu kirahisi? Ndio maana mm nashangaa kwanini nchi inatumia pesa nyingi kuhamia dodoma kwenye zama hizi za utandawazi na tehama badala hela hizo zingetumika kukuza mifumo yetu ya kupashana habari na data. Inawezekana wazo la kuhamia dodoma lilikuwa valid wakati wa awamu ya kwanza lakini likapoteza umuhimu kwenye awamu zilizofuatia kutoka na changamoto za awamu ya kwanza kuwa tofauti kabisa na zile za awamu zilizofuatia.
 
Uzi wako huwa nauona na kuupuuza jana nimesoma pia uzi wa jamaa anaitwa nafikiri Mk54, mmenifikirisha zaidi...
 
Vitu ni vingi mno na tuache dharau ya kujiona kuwa tunajua sana.Hasa wale walio kweye mifumo...fujo mara umezuia Twitter mara sijui nini watu wanakuwa kimawazo na kiteknolojia kila leo.Hatuko 1900
 
Nadhani ume ni missinterpret. my point is katika hii circle ya kuvuja kwa information tunduliss ni small part ya huo mchezo.
large players wako ndani ya system yenyewe.
sijasema achukuliwe powa.. ila yeye ni tip of ice berg.. kuna wengine ambao hawajulikani.

Pls usinihusishe na group lolote. siko hapa kwa interest za upande wowote ule. just a concerned citizen
 
Tiss ishakuwa ni ccm. Haishangazi hata kidogo.
nime explain hili mwanzoni. shirika limekuwa diluted kwa kupenyeza watu wasio na weledi.
badala yake tunakuja kupata product mbovu kama akina sabaya.
unatarajia nn hapo?
 
"Filthiest kind of politics" now this is interesting.
how do we manage to identify bad politics & good politics?
i mean if we operate only using politics,its easier politicians to control major organs of gov ( good examplr is our current states),
including the intelligence organs.
if we could succeed to separate politics from intelligence community, and block politician to temper with country intelligence.. we will be succesful.
 
Mkuu umeamua kudanganya kwa ujumla, Tanzania kuna makada wangapi? Ni wangapi kati yao wamepelekwa huko usalama? Je kama kada ana uwezo kwanini asichukuliwe? Tatizo hili la uvujaji wa taarifa limekuwa la kidunia si Tanzania pekee. Huenda, vyombo hivi katika kizazi hiki vinapaswa kubadili namna ya kuendesha shughuli zake.
 
Hiki chombo wanasiasa wanataka waki control wakitumie kwa manufaa yao.
Wanajua wakiwa againts it watafeli.

taarifa sijui makada wangapi tanzania, sijui. But nawafaham baadhi ya watu ambao ni makada si chini 21. na ni watu wa karibu ambao kiuwezo wako chini. ila waliingizwa in the name of uzalendo wkt in real sense hawana hizo qualifications. na hiyo small portion tu.

unless na ww ni kada
 
I support
 
Kwa taarifa tu hata makada wenyewe ambao hata maan aya neno intelligence hawaijui mtaani wanalinga na kujidai kama wana usalama. Yaani kila kada ambaye ana back up fulani anatembea kwa vitisho balaa. Anajiamini kichizi yaani. Kumbe ni kada tu. Hii sense of feeling sijui wanaitoa wapi.
 
Asante kwa ufafanuzi...Mr Concerned citizen😅
 
Si kila kada hana uwezo mkuu, ni kama vile wengine huingia huko kwa kuagizwa na wazazi wao.

Makada huwa wengi lakini huchukuliwa wachache ambao wanaonekana wanakitu cha ziada.

Sikatai kwamba hao uliowaona hawana uwezo inategemea umewalinganisha na nani.

Hata wewe tukikulinganisha na mwingine yumkini tutakuona sio bora kama mwingine.

Basi nikuombe, chunguza na wale wa kamlete!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…