Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Ndio kwanza dakika ya tano unasema umeshinda mechi.tulia kijana ofisi imebadilika ile, ngoja ma informer waanze kusukwa mtajiona mmekaa uchi.tulia muda utaongea.
 
Siyo kwamba hawana uwezo wa kuzipata taarifa bali hawana sababu ya kufanya hivyo kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan bado hajaweka rekodi mbaya katika kipindi chake hiki kifupi cha uongozi.

Aidha inaonesha rais wetu anajaribu kurekebisha makosa yaliyofanywa na mtangulizi wake hivyo hao wanaharakati wana matumaini na kiongozi wa nchi kwa sasa. Kumbuka kadri unavokuwa husikilizi watu ndipo watu wanatafuta mbinu ya kukuvua nguo. Jifunze hapa.

''Tumia mbinu hiyo hiyo ya kuwafanya wasiropokee Bungeni, waropokee nje na huku nje tutadili nao vizuri kwa sababu wanapokuwa kule ndani wana kinga wanaweza wakatukana chochote, sasa kinga wanayoitumia vibaya bungeni kainyooshe wewe".

"Wawe wanatoka kule bungeni, ukishamfukuza hata mwezi mzima, atakuja aropokee huku, na mimi nakueleza, waache waropokee huku nitadili nao, wala siwatishi lakini hatuwezi kuwa kwenye vita wewe unaanza kugeuka kupiga wale wanaokwenda mbele, ni nafuu unyamaze ukalale.”

β€œNawaambia wamiliki wa vyombo vya habari, β€œbe careful,” (chukueni tahadhari), β€œwatch it” (angalieni) kama mnafikiri mna freedom ya namna hiyo β€œnot to that extent” (sio kwa kiwango hicho).”

Siku zote ukizuia uhuru kwa vyombo vya habari na watu kutoa maoni lazima utatengeneza NYEPENYEPE ambazo kwa kawaida zinaleak kuanzia kwa watu wa karibu ambao hawapendi mfumo huo.

Itoshe kusema kwamba kama mama na yeye ataongoza kwa mkono wa chumu (naomba isiwe hivyo) hata na yeye anaweza kukuta siri za serikali zinavuja.
 
Kigogo2014 yupo anapumulia mashine! Alikuwa anaringa sana eti mhabarishaji mkuu wa vyombo vya habari sasa hivi amebaki anajisemesha semesha ka taahira fulani!
 
Samia hajadhibiti siri yeyote isitoke, siri za Magu zilivuja kwasababu hakutakiwa na walafi, ambao kimsingi ndio waliokuwa wamemzunguka.
 
Siyo kwamba hawana uwezo wa kuzipata taarifa bali hawana sababu ya kufanya hivyo kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan bado hajaweka rekodi mbaya katika kipindi chake hiki kifupi cha uongozi....
Sasa kutoa siri za Serikali unakuwa unamkomoa Rais au vipi maana sielewi?
 
Samia hajadhibiti siri yeyote isitoke, siri za Magu zilivuja kwasababu hakutakiwa na walafi, ambao kimsingi ndio waliokua wamemzunguka.
Sasa walikuwa wanafaidika vipi na huko kutoa siri za Serikali?
 
SIO KWELI,

Waliokuwa wanavujisha ndugu zao wamepewa kazi kawa sasa na wao kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao zilizokuwa ziko chini ya uchunguzi. Funguka macho na akili ili utambue watu hao ni akina nani?
 
SIO KWELI,

Waliokuwa wanavujisha ndugu zao wamepewa kazi kawa sasa na wao kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao zilizokuwa ziko chini ya uchunguzi. Funguka macho na akili ili utambue watu hao ni akina nani?
Utusaidie kuwataja kwa majina yao mkuu
 
Mabeyo anatakiwa kutolewa ili awekwe mwingine maana aliteuliwa na Magu.

Hiyo ni kwa mujibu wa vilema wa akili pale Ufipa.
Wewe pia utakuwa mpotoshaji, si ulisema chadema imekufa? [emoji848][emoji848]
Taga bwana, kweli mwanaume unakubali kulipwa buku 7 ili ufanye mambo ya kimataga! Lazima kuwa na shida flani sehem flan.
 
huenda hata neno mataga hulijui maana yake

anyway unazungumziaje issue ya udhibiti wa siri za serikli?
Wewe pia utakuwa mpotoshaji, si ulisema chadema imekufa? [emoji848][emoji848]
Taga bwana, kweli mwanaume unakubali kulipwa buku 7 ili ufanye mambo ya kimataga! Lazima kuwa na shida flani sehem flan.
 
Mtu ana mwezi unawezaje kusema 100% jamaa. Jipe muda.
 
Wewe pia utakuwa mpotoshaji, si ulisema chadema imekufa? [emoji848][emoji848]
Taga bwana, kweli mwanaume unakubali kulipwa buku 7 ili ufanye mambo ya kimataga! Lazima kuwa na shida flani sehem flan.
Akili yako kumbe ndogo!

Sasa mtu unasema nalipwa elf 7 huku huna uhakika
 
Watu wakikuchukia huwezi kudhibiti siri, ukiwa bado mpendwa siri zinajidhibiti zenyewe.
 
Inawezekana genge lililokuwa likivujisha siri, ndiyo genge lililohakikisha Samia anakuwa Rais.
 
Tangu Makonda awekwe benchi hatoi tena habari lakini wale walioko tweeter bado wanatoa ila watu wanafanya spining kuwa discredit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…