Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Mama nimemkubali
 
 
Hongera Sana Mama Samia,
 
 

Attachments

  • IMG_1555.MP4
    6.8 MB
Tanzania ya Samia ukifa Maskini umejitakia kila mmoja anachukua chake mapema,tumerudi enzi za Mkwere.
 
Kawaulize vijana waliojiunga vyuoni hadi leo wameshapata kiasi gani cha fedha toka HESLB? Pili, ni kiasi gani cha mkopo wamepewa. Wengi ni chini ya 45%.
 
Kwa manunguniko na taabu alizosababisha SHUJAA basi urais baada ya shujaa ulitakiwa kuwa mwepesi kwa kurudisha furaha ya watu
 
 
 
 
Kiasi nakubalianan nawe, kiasi lsikubaliani nawe. Tuliposhindwa Afrika ni kujenga mfumo unaowaongoza viongozi, tukaishia watawala wanaotengeneza kila mmoja mfumo wake na kuuongoza ajuavyo. Mhe. Samia Suluhu Hassan anazo sifa zake nzuri tu za kuiongoza nchi. Mosi, anamwamini Mungu Muumba wake na kuwa kila kiongozi analetwa na Mungu, anaamini katika utawala wa Sheria na Haki, anaamini katika dialogue katika kutatua changamoto, hapendi lugha chafu za kuudhalilisha utu wa mtu na msikilizaji mzuri wa wataalam katika nyanja mbalimbali. Kweli ni Rais bora.
Lakini tunatakiwa kutengeneza mfumo utakaowaongoza viongozi wasifanye watakavyo bali mfumo uwaongoze kwani hakuna binadamu atakayeishi milele. Lazima kuwe na makabidhiano yaliyopangiliwa kisheria na ki-Katiba ili kuondokana na kila mtu kuongoza atakavyo. Asante
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…