Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

CCM si ndiyo ghala lenu la viongozi mbona unajipa shida sana nani atakayechukua tena kiti?
 
Nakuelewa sana Jesusie
 
Unes
Umesahau,

Uhuru wa mahakama,
Demokrasia,
Uhuru wa kujieleza
Uhusiano kimataifa,
Ujenzi wa LNG
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Ujenzi wa SGR
ujenzi wa
Umesahau kuweka miji katika hali ya usafi? Miji yote Tanzania ilikuwa imegeuka dampo. Na kuna aliyekuwa anajiita mtetezi wa wanyonge alikuwa anatetea hayo! Mingine 5 kwa SSH!
 
Kama sio katiba Samia alitakiwa kufika 2040
 
Wkt wa Magufuli mlikua na kauli hizi hizi.Swali langu ni kua mtu wa aina yako mnazaliwa hivyo hivyo mkiwa na mtindio wa ubongo au tatizo hilo linawakumba ukubwani?Maana watu wa aina yako ni mazezeta kipeuo cha pili.
 
Daaah
 
Ulisema wewe?
 
kweli itachukua miaka 100 kumpa rais anaye vaa matambara kichwani !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…