Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Ni ngumu sana kupata Rais Samia mwingine
 
The Smartest President ever,
 
Tanzania tumepata mtu makini sana lazima tumshikilie kwa nguvu zote,
 
Rais huyu
Samia ni mtu makini sana
 
Tanzania tuko na wewe Mama
 
Aisee mpaka naona aibu.......Tanzania kuna WATU
 
Umesahau, ameaongezea mishahara minono watumishi wa umma, Sasa hakuna mtumishi anayalalamika!

Na tutazidi kumkumbuka huyo Samia kwa kuwasupoti watoto wetu wadogo wazaezae hovyo hovyo ili shule zetu zisomeshe wazazi badala ya watoto!
Na tutamkumbuka sana Samia kwa uongozi mbovu kuliko wote tangu Tanzania ipate Uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…