muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Mimi sijui ama mawazo yangu yako sawa au mimi ndo mshamba!
Ni kwanini Mheshmiwa Raisi asiwe anachagua mawaziri kusimamima sekta ambazo wana experience nazo?
Mfano waziri wa ulinzi anaweza kua askari mstaafu aliyetumikia jeshi miaka mingi huyu anaweza kua na experience na akajua hata ufujaji na ufuatiliaji wa mambo bila kudanganywa
Vile vile waziri wa afya anaweza kua daktari bingwa aliyehudumu si chini ya miaka hata 20 au 30 huyu hata akienda kukagua miradi ya afya hawezi kudanganywa kitu maana vitu anavijua kabisa!
Waziri wa Ujenzi anaweza kua engineer mzoefu mwenye experience ya kutosha
Tofauut na sasa. Mwalimu anaeeza kuwa waziri wa Afya unategemea akienda hata hospitali kama muhimbili kufanya ziara hatadanganywa?
Unakuta waziri wa afya hajui hata mashine ya usingizi inafananaje? Waziri wa afya hajui hata dawa zinanunuliwaje na zinapigwaje?
Waziri wa afya hajui utunzaji wa dawa ukoje
Sasa apa anaongoza nini?
Mfano hapo chini kwenye picha angalia utofauti kati ya waziri wa afya wa Rwanda na wa Tanzania