Tanzania huwa kuna shida gani katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri?

Tanzania huwa kuna shida gani katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri?

Ukimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi Engineer Kasekenya jinsi anavyochambua miradi ya Barabara nchi nzima mpaka unashanga Bashungwa amekuaje Waziri wa Ujenzi.
"Ungaunga mwana tusonge"
Vituko
 
Hapo hapo kwenye cheo cha kisiasa kwani hakuna wanasiasa wenye taaluma zinazoendana na nafasi wanayoteuliwa?

Kwamba hakuna mbunge ambaye ana fani ya udaktari akapewa nafasi ya waziri wa afya?
Swali zuri hili
 
Back
Top Bottom