muafi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 2,557 Reaction score 6,128 Aug 30, 2024 Thread starter #41 butron said: Ukimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi Engineer Kasekenya jinsi anavyochambua miradi ya Barabara nchi nzima mpaka unashanga Bashungwa amekuaje Waziri wa Ujenzi. "Ungaunga mwana tusonge" Click to expand... Vituko
butron said: Ukimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi Engineer Kasekenya jinsi anavyochambua miradi ya Barabara nchi nzima mpaka unashanga Bashungwa amekuaje Waziri wa Ujenzi. "Ungaunga mwana tusonge" Click to expand... Vituko
muafi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 2,557 Reaction score 6,128 Aug 30, 2024 Thread starter #42 Wimakatso said: Hapo hapo kwenye cheo cha kisiasa kwani hakuna wanasiasa wenye taaluma zinazoendana na nafasi wanayoteuliwa? Kwamba hakuna mbunge ambaye ana fani ya udaktari akapewa nafasi ya waziri wa afya? Click to expand... Swali zuri hili
Wimakatso said: Hapo hapo kwenye cheo cha kisiasa kwani hakuna wanasiasa wenye taaluma zinazoendana na nafasi wanayoteuliwa? Kwamba hakuna mbunge ambaye ana fani ya udaktari akapewa nafasi ya waziri wa afya? Click to expand... Swali zuri hili