kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu.
Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada ya kweli bali ni mitego/chambo tu katika kuporwa rasilimali zetu, sio misaada ya kutukwamua.
Tuamue sasa tujitegemee na kupata shida kidogo wakati wa kujijengea uwezo wa maendeleo ya kweli au tuendelee kutafuta na kutegemea misaada kupata nafuu sasa lakini kuwa maskini sana baadae pale rasilimali zetu zetu zitakapokuwa zimesombwa zote na kubaki na mashimo matupu.
Kwani hatukopeshwi kujenga viwanda vya kutengeneza matrekta na combine harvesters badala yake tunakopeshwa kununua taulo za kike na madawati?
Tutafute misaada au tupunguze misaada?