Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa.

Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua.

Tanzania inaweza kuzalisha umeme zaidi ya megawati 2000 kwa makaa ya mawe iliyonayo kwa miaka mingi sana na kuhakikisha upatikanaji wa nishati kwa maendeleo ya kiuchumi.

Tanzania inatakiwa ichukue maamuzi magumu ianze kujenga kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe. Tanzania inabidi ifanye maamuzi magumu kama yaliyofanyika kwenye kujenga bwawa la mwalimu Nyerere.

IMF na World bank ndio wanaikataza Tanzania isijenge umeme wa makaa ya mawe kwa kigezo cha uchafuzi wa mazingira. Kumbuka WB na IMF hawataki Tanzania inenge mradi mwingine wa umeme kwa kutumia maji, wanasema ni uchafuzi wa mazingira. WB na IMF wameitaka Tanzania iondoe mpango wa kujenga umeme wa makaa ya mawe kwenye mipango yake na wanalazimisha Tanzania ijikite kwenye umeme wa sola na jua(Renewable Energy).

Jamaa hao pamoja na unafiki wao wa kwamba makaa ya mawe yanachafua mazingira lakini wao kwenye nchi zao wanazalisha umeme kwa makaa ya mawe na ndio wanaonunua makaa ya mawe kutoka Tanzania (bandari ya mtwara iko busy kila siku kusafirisha makaa ya mawe kwenda ulaya kuzalisha umeme)

Wakati WB na IMF wanaikataza Tanzania, South Africa iinajenga kinu cha makaa ya mawe cha kuzalisha megawati 4800, Kusile Power Plant Mpumalanga.

Tanzania ifanye maamuzi magumu, ijenge kinu cha makaa ya mawe kuzalisha umeme, iachane na mikara ya wb na imf.

View: https://www.instagram.com/p/C__H3YftZGV/?igsh=bG9rbDFsYnQ3Nmpi
 
Ni ujinga kufanya kitu kisa SA wanafanya!

Kifupi... Umeme wa makaa ya mawe ni mchafu na utatuletea shida lukuki. Kimazingira! Kiafya! Kiuchumi! Kijamii!

Kwanini msiwaze umeme wa jua au upepo ambao ni unlimited natural, renewal energy resources?
Makaa ni machafu yanapozalisha umeme tu? Maana shehena ya makaa yanahounguzwa kwenye viwanda vya cement sio kidogo.
 
brain washed
You gotta learn.
Makaa ni machafu yanapozalisha umeme tu? Maana shehena ya makaa yanahounguzwa kwenye viwanda vya cement sio kidogo.
Ushakaa maeneo karibu na hivyo viwanda?
Ushajiuliza madhara ya moshi wa makaa ya mawe kwenye afya za binadamu?
Ushajiuliza kwanini mabadiliko ya tabianchi yanazidi kushika kasi?
 
Ni sawa tu, kama itamaliza ishu ya mgao wa umeme why not tusiwekeze huko?
 
You gotta learn.

Ushakaa maeneo karibu na hivyo viwanda?
Ushajiuliza madhara ya moshi wa makaa ya mawe kwenye afya za binadamu?
Ushajiuliza kwanini mabadiliko ya tabianchi yanazidi kushika kasi?
Madhara ya coal ni world wide story, ila ni kama dunia imesha prove without doubt kwamba bila coal vitu vingi havitawezekana, nenda mtwara port uone shehena za meli zikielekea huko huko kunakotungwa sheria za pollution
Nnachotaka kusema ni kuwa kama serikali imeruhusu viwanda vya gypsum cements vitumie coal kwanini tusiruhusu uzalishwaji wa umeme pia
 
Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa.

Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua.

Tanzania inaweza kuzalisha umeme zaidi ya megawati 2000 kwa makaa ya mawe iliyonayo kwa miaka mingi sana na kuhakikisha upatikanaji wa nishati kwa maendeleo ya kiuchumi.

Tanzania inatakiwa ichukue maamuzi magumu ianze kujenga kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe. Tanzania inabidi ifanye maamuzi magumu kama yaliyofanyika kwenye kujenga bwawa la mwalimu Nyerere.

IMF na World bank ndio wanaikataza Tanzania isijenge umeme wa makaa ya mawe kwa kigezo cha uchafuzi wa mazingira. Kumbuka WB na IMF hawataki Tanzania inenge mradi mwingine wa umeme kwa kutumia maji, wanasema ni uchafuzi wa mazingira. WB na IMF wameitaka Tanzania iondoe mpango wa kujenga umeme wa makaa ya mawe kwenye mipango yake na wanalazimisha Tanzania ijikite kwenye umeme wa sola na jua(Renewable Energy).

Jamaa hao pamoja na unafiki wao wa kwamba makaa ya mawe yanachafua mazingira lakini wao kwenye nchi zao wanazalisha umeme kwa makaa ya mawe na ndio wanaonunua makaa ya mawe kutoka Tanzania (bandari ya mtwara iko busy kila siku kusafirisha makaa ya mawe kwenda ulaya kuzalisha umeme)

Wakati WB na IMF wanaikataza Tanzania, South Africa iinajenga kinu cha makaa ya mawe cha kuzalisha megawati 4800, Kusile Power Plant Mpumalanga.

Tanzania ifanye maamuzi magumu, ijenge kinu cha makaa ya mawe kuzalisha umeme, iachane na mikara ya wb na imf.
Dunia nzima inapambana na carbon emission wewe bado unaunga mkono shughuli zake.

Hao WB na IMF wakiwa ndo viranja wa fedha na uchumi wanakupa mbadala wa nishati ambayo kimsingi kwa Tanzania tuna jua la kutosha kabisa 😃😃, ukija kwenye upepo nao sio haba.
Hebu pitia SDGs kwanza uelewe japo umuhimu wa kuzingatia usalama wa mazingira.

Mambo mengine tusione kisa amesema mzungu basi ana nongwa na sisi.

Leo baadhi tu ya maeneo nchini hasa kule Rukwa wananufaika na carbon credit funds ambazo watu wanatozwa huko.
Mabiliko ya tabia nchi leo yanaathiri uchumi kwa sehemu kubwa sana ni lazima tuchukue hatua stahiki kuilinda hii dunia.
 
Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa.

Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua.

Tanzania inaweza kuzalisha umeme zaidi ya megawati 2000 kwa makaa ya mawe iliyonayo kwa miaka mingi sana na kuhakikisha upatikanaji wa nishati kwa maendeleo ya kiuchumi.

Tanzania inatakiwa ichukue maamuzi magumu ianze kujenga kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe. Tanzania inabidi ifanye maamuzi magumu kama yaliyofanyika kwenye kujenga bwawa la mwalimu Nyerere.

IMF na World bank ndio wanaikataza Tanzania isijenge umeme wa makaa ya mawe kwa kigezo cha uchafuzi wa mazingira. Kumbuka WB na IMF hawataki Tanzania inenge mradi mwingine wa umeme kwa kutumia maji, wanasema ni uchafuzi wa mazingira. WB na IMF wameitaka Tanzania iondoe mpango wa kujenga umeme wa makaa ya mawe kwenye mipango yake na wanalazimisha Tanzania ijikite kwenye umeme wa sola na jua(Renewable Energy).

Jamaa hao pamoja na unafiki wao wa kwamba makaa ya mawe yanachafua mazingira lakini wao kwenye nchi zao wanazalisha umeme kwa makaa ya mawe na ndio wanaonunua makaa ya mawe kutoka Tanzania (bandari ya mtwara iko busy kila siku kusafirisha makaa ya mawe kwenda ulaya kuzalisha umeme)

Wakati WB na IMF wanaikataza Tanzania, South Africa iinajenga kinu cha makaa ya mawe cha kuzalisha megawati 4800, Kusile Power Plant Mpumalanga.

Tanzania ifanye maamuzi magumu, ijenge kinu cha makaa ya mawe kuzalisha umeme, iachane na mikara ya wb na imf.
Tayari bwawa limekamilika umeme wa maji ndiyo mzuri kiuchumi na mazingira ....wajinga wengi mnakurup7ka bila ya akili ...badala ya kuitaka serikali ifanye mikakati sahihi ya kutumia bwawa jipya kwa maslai ya taifa kiuchumi....nyinyi mnawaza umeme wa makaa ya mawe wakati tunao zalisha bwawa la nyerere tumeshindwa kuhutumia hata kwa asilimia 30% na bei ipo juu vile vile badala ya kushushwa.
 
Madhara ya coal ni world wide story, ila ni kama dunia imesha prove without doubt kwamba bila coal vitu vingi havitawezekana, nenda mtwara port uone shehena za meli zikielekea huko huko kunakotungwa sheria za pollution
Nnachotaka kusema ni kuwa kama serikali imeruhusu viwanda vya gypsum cements vitumie coal kwanini tusiruhusu uzalishwaji wa umeme pia
Madhara yapo tena wazi na kila mtu anakiri. Ndiyo maana huko nchi za magahribi wanatozwa kwa emission wanazofanya. Lakini pia kunakuwa na plan ya wao kupunguza hadi kuja kuachana kabisa.

Hii sio kama vile unapiga marufuku mifuko ya plastic.
 
kwani bwawa la Mwalimu Nyerere hautoshi?
Shauri tuyaongeze thamani hayo makaa ya mawe ili tuyauze kwa bei nzuri na usafirishaji wake uwe ni salama bila kuchafua mazingira.
Kwa mfano yanapochimbwa yaoshwe na yapakiwe ndio yasafirishwe.
Wanunuaji walete dola,
 
Tumekuwa wajinga wajinga sana, ila bado hatujachelewa. Tuweke mpango wa kuwa na walau 10,000MW za makaa ya mawe ndani ya miaka kumi ijayo. Makaa ni umeme wa uhakika. Na manaosema umeme wa makaa ya mawe ni mchafu wana akili fupi. Sisi tukiwa na umeme wa makaa, na watu wakaweza kupikia makaa basi tutaokoa mamilioni ya miti yanayokatwa kila mwaka kwa ajili ya kuni na mkaa.
 
kwani bwawa la Mwalimu Nyerere hautoshi?
Shauri tuyaongeze thamani hayo makaa ya mawe ili tuyauze kwa bei nzuri na usafirishaji wake uwe ni salama bila kuchafua mazingira.
Kwa mfano yanapochimbwa yaoshwe na yapakiwe ndio yasafirishwe.
Wanunuaji walete dola,
Uoshe makaa ya mawe!!!?
 
Madhara yapo tena wazi na kila mtu anakiri. Ndiyo maana huko nchi za magahribi wanatozwa kwa emission wanazofanya. Lakini pia kunakuwa na plan ya wao kupunguza hadi kuja kuachana kabisa.

Hii sio kama vile unapiga marufuku mifuko ya plastic.
Jamaa ndiyo vinara wa kutoa hewa ya ukaa duniani, tukiendelea kuwasikiliza itakula kwetu.
 
You gotta learn.

Ushakaa maeneo karibu na hivyo viwanda?
Ushajiuliza madhara ya moshi wa makaa ya mawe kwenye afya za binadamu?
Ushajiuliza kwanini mabadiliko ya tabianchi yanazidi kushika kasi?
Tabia nchi iko Tanzania peke yake? Sisi tusipotumia coal wengine wameacha pia? Kwa hiyo bora watumie wengine halafu sisi tugharimike na madhara..si bora tutumie wote sababu madhara ni kwetu sote, Botswana wanaotegemea coal 100% ulishasikia wanalalamika madhara ya kutumia coal? Hata miti si mingi sababu sehemu kubwa ni jangwa, Uchumi je na maendeleo kwa ujumla Tanzania tunawazidi au wako mbele yetu..
 
Back
Top Bottom