Sikatai kwamba huko Marekani wanakimbia, ila hawatakuja hapa. Mmrekani gani atakuja kuweka hela yake hapa bank account ifungiwe?
Magonjwa ya akili huanza kwa namna hii.Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo...
Nakubaliana na mtazamo huu. Nilikuwa Zanzibar wiki iliyopita Wazungu wamejaa na wamerelax sana. Inaonekana wanapata amani sana wanapokuwa Tanzania. Hakuna cha barakoa wala nini wanakula maisha. Viva Tanzania vivaJana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo.
Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao.
Serikali ijipange kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanza kupokea wakimbizi wa Corona wanaoikimbia corona Ulaya na Marekani kutafuta hifadhi Tanzania.
Shirika la wakimbizi nalo lijiandae kwa hili kutakuwa na new wave ya wakimbizi ambao hawakimbii vita bali ni wazima wa afya kwa vipimo vyote ila wanakimbia nchi zao Corona.
Hata lichama la mashetani ccm likitoka madarakani ?Hao wakimbizi waje waishi kwangu mimi niende uko ulaya niishi kwao. Na tanzania sirudi ngooo
Ni kweli kabisa wanajipiga hata picha za selfie sana mitaani wakiwarushia wenzao wanakotoka na kuangua vichekoNakubaliana na mtazamo huu. Nilikuwa Zanzibar wiki iliyopita Wazungu wamejaa na wamerelax sana. Inaonekana wanapata amani sana wanapokuwa Tanzania. Hakuna cha barakoa wala nini wanakula maisha. Viva Tanzania viva
Tanzania the holy place auto cracker down covid viral we welcomes allNi kweli Ulaya na Merikani kunatisha - hivi sasa inaelekea mataifa hayo yanakabiliwa na second phase ya maambukuzi ya COVID-19.
Kilicho nitisha zaidi ni pale nilipo msikia Waziri mkuu wa Uingereza jana akionya kwamba hivi sasa Uingereza inakabiliwa na strain mpya ya COVID-19 ambayo inaweza kuwa ni more virulent kuliko strain ya kwanza, nikawa najiuliza maswali mengi kwamba inawezakana kuna wanasayansi wanavifanyia virus ukarabati ili viwe hatari zaidi.
Waziri mkuu wa Uingereza alionekana ana wasi wasi sana anawashauri raia wake kwamba hata XMAS washerekee wakiwa majumbani kwao wasitoke nje na kuranda randa ovyo kutokana na kuwepo STRAIN mpya ya COVID-19 - sasa hii inaleta picha gani kimataif?
Ni wazi tukiendelea kuruhusu ndege na watalii pamoja na wageni kutoka kwenye Mataifa hayo athirika bila ya kuchukua hatua kali za kudhibiti miingiliano holela na wageni, Taifa letu linaweza kukumbwa na second phase ya corona ambayo Waziri mkuu wa Uingereza amethibitisha kwamba ni STRAIN mpya -
no one knows how to deal with it labda tukisaidiwa na wataalamu wa Kichina kwa kuwa Taifa la China ndilo limeonekana lina mbinu za hali ya juu jinsi ya ku-deal na COVID-19 pandemic effectively - pendekezo langu ni kwamba Wizara ya afya pamoja na Wizara ya Utalii ziwe makini sana kudhibiti wageni, zisiogope lawama.
Mimi ninao 5 wanaish kwenye vibanda vyangu tangu mwez wa 9. Niliweka nyumba air bnbn wakakod online nikawawekea na gar. Sema wamefuata taratibu zote.Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo.
Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao.
Serikali ijipange kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanza kupokea wakimbizi wa Corona wanaoikimbia corona Ulaya na Marekani kutafuta hifadhi Tanzania.
Shirika la wakimbizi nalo lijiandae kwa hili kutakuwa na new wave ya wakimbizi ambao hawakimbii vita bali ni wazima wa afya kwa vipimo vyote ila wanakimbia nchi zao Corona.
Mkuu unaeleza kana kwamba Tanzania tulifanikiwa kuidhibiti corona ndio maana unatoa ushauri kwa serikali kuwa makini kudhibiti wageni wasituletee tena corona.
Hahahahaha nakubaliana na ww kabisa jamaa mgonjwa huyo