Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 597
- 955
Nani na nan mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau uwe na uwezo wa kumiliki bilioni mbili na nus za kitanzania au dollar million mojsHata siwasalimii maana salamu zenyewe za kwenye nyuzi sijawahi kuona zikijibiwa (joking)
Twende moja kwa moja kwenye mada! Swali langu ni hivi kibongobongo ili aitwe milionea anatakiwa awe na pesa kuanzia kiasi gani kiujumla?
Ninaposema kibongobongo namaanisha kulingana na standard yetu kwa kuzingatia uchumi wetu na thamani ya pesa yetu. Siyo kwa kulinganisha na thamani ya pesa za nchi nyingine.
Maana kwa mfano kwa Marekani wenyewe wanasema kwao ili mtu aitwe milionea anatakiwa awe na pesa au mali zenye thamani ya kuanzia Dola Milioni 30. Hizo ukizileta kwenye pesa yetu ya madafu ni takriban Shilingi Bilioni 69 na pumba.
Kwahiyo tukisema na sisi twende na standard hiyo basi tutajikuta asilimia 90 ya wabongo ni kina 'lakionea' na 'wananionea' tu! Kwa hivyo ningependa kujua kwetu sisi milionea anatakiwa awe na kuanzia kiasi gani cha pesa!
Na vile vile ili mtu awe katika position nzuri ya kuuelekea umilionea, kama ni mfanyabiashara anatakiwa awe anaingiza faida kiasi gani na kama ni muajiriwa anatakiwa awe analipwa mshahara kiasi gani ili awe kwenye nafasi nzuri ya kuutafuta umilionea?
Nawasilisha
Uandishi wako unasadifu picha ya huyo mwamba kwenye dp yako. Furani[emoji119][emoji119]Nadhani kwa kwetu hatujawahi kuweka au kuwa na Official Standards furani furani za kupima utajiri wa mtu for classification ya u'millionea na u'billionea.