Tanzania ilipangwa na timu ngumu sana

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Wakuu, kama tulivyoona timu mbili tulizo pangwa nazo kwenye makundi zote zimefika fainali

Algeria wameifunga nigeria 2-1,Senagal wameicharaza Tunisia 1-0 (hatua ya nusu fainali)

Kwa nilichokiona, Tanzania ilipangwa na timu ngumu sana na wala haziwiani katika viwango vya mpira

Huwenda labda tungepangwa na timu nyingine, tungejipatia pointi kazaa au tungefuzu 16 bora..

Bingwa na mshindi wa pili anatoka kwenye kundi letu, hii inaonesha ni kwa jinsi gani ilikuwa ngumu kwa taifa stars kufuzu hatua inayofata
 
Bila shaka una usingizi kalale kwanza huwenda umeandika ukiwa umefumba macho.
Utakapoamka naomba unijibu.
Unafikiri ni timu gani ingeweza kufungwa na Tanzania katika Afcon ya mwaka huu?
Na kwanini unafikiri hivyo?
 
Nafikiri timu kama burundi,namibia, zimbabwe, guinea bissau, zimbabwe nk

Zingeweza kufungwa na Taifa stars.. Kwasababu mpira wao sio mkubwa sana kulinganisha na Taifa stars
 
South Africa
 
watanzania tembeeni vifua mbele kundi letu timu zote zimeingia fainali sifa na utukufu ziende kwa bashite na serikali awamu ya tano kwa kutuwezesha kushiriki afcon.
 
Kwa mpira uliokua unachezwa na taifa stars kamwe asingeondoka na ata point moja hata kama angepangwa na burundi kwa sababu team zote kasoro tanzania zilikua zinajitoa zinapambana japo juhudi zinaonekana pamoja na kua zilitolewa mapema
 
Tatizo linaanzia pale wasioufahamu mpira wa miguu kuzungumzia masuala hayo.
 
Nafikiri timu kama burundi,namibia, zimbabwe, guinea bissau, zimbabwe nk

Zingeweza kufungwa na Taifa stars.. Kwasababu mpira wao sio mkubwa sana kulinganisha na Taifa stars

Hizo timu ulizotaja zote ni bora kuliko kenya! .. Huyo kenya kibonde sasa alipokutana na Tanzania dah .. ngoja tulale tu
 
Hizo timu ulizotaja zote ni bora kuliko kenya! .. Huyo kenya kibonde sasa alipokutana na Tanzania dah .. ngoja tulale tu
Kenya kibonde kivip? Ata ile mechi Tz alifanya makosa madogo tuuu
 
watanzania tembeeni vifua mbele kundi letu timu zote zimeingia fainali sifa na utukufu ziende kwa bashite na serikali awamu ya tano kwa kutuwezesha kushiriki afcon.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana hao tunge wapiga kama tusingewaacha akina mkude, Banda na ajib pia kocha asingekuwa amunike tungerudi na kombe
 
Bado tunaendelea kutetea kushindwa kwetu?!! Ukweli ni kwamba hatukwenda kama washindani kwenye AFCON, tulikwenda kama vibonde.
 
Sasa si angalau tungetoka japo na kapoint kamoja cha Kenya ili kuthibitisha taarifa yako!!!
 
Tuwashukuru waganda kwa kutuachia nasi tushiriki AFCON. Kwa uhakika hatukustahili kucheza AFCON.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…