PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Wakuu, kama tulivyoona timu mbili tulizo pangwa nazo kwenye makundi zote zimefika fainali
Algeria wameifunga nigeria 2-1,Senagal wameicharaza Tunisia 1-0 (hatua ya nusu fainali)
Kwa nilichokiona, Tanzania ilipangwa na timu ngumu sana na wala haziwiani katika viwango vya mpira
Huwenda labda tungepangwa na timu nyingine, tungejipatia pointi kazaa au tungefuzu 16 bora..
Bingwa na mshindi wa pili anatoka kwenye kundi letu, hii inaonesha ni kwa jinsi gani ilikuwa ngumu kwa taifa stars kufuzu hatua inayofata