Hawa wabunge, mawaziri haramu na wateuliwa wote wanaomfanyia kazi huyu Samia; hivi atakaposambaratishwa hawa wote watadai kuwa walikuwa hawahusiki na hawajui chochote kinachoendelea sasa?Ufalme uliofitinika.
Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi...! Sasa uhalisia uko waziMshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika zilizomkosesha mshindi kupata asili mia kamili?
Sasa tunaambiwa, huyu aliyepigiwa kura na wabunge yeye kapata asili mia kamili ya kura zote
Hawa watu wanaopendwa kiasi hiki, kwa nini wanapoteza pesa nyingi kuwa na mitutu inayowazunguka kila mahali?
Hao wabunge waliopiga kura hizi, wamewawakilisha wananchi wao waliowachagua kuingia Bungeni; kwa hiyo huyu naye aliyepigiwa kura ni kipenzi cha wananchi; na hawa wabunge wanatimiza matakwa ya waliowapeleka Bungeni kama wawakilishi wao.
Kwa nini Tanzania imevurugwa kiasi hiki?
Dah!Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi...! Sasa uhalisia uko wazi
Wataalam wa psychology wanaweza kuitafsiri vizuri hali yake hii.Dah!
Hata "uongo" una kipimo chake.
Anayofanya Samia sasa hivi yamevuka kiwango cha kuwa uongo. Sijui kama kuna jina sahihi ya hali hiyo anayoitumia sasa hivi Samia.
Kumbe hata 'Zungu' yule mwarabu Spika na yeye ni kazi ya Samia kuwa katika uspika.
Sasa hii bado ni nchi kweli?
Mimi nadhani Samia ana aina ya ugonjwa wa akili
Wataalam wa psychology wanaweza kuitafsiri vizuri hali yake hii.
Na anayafanya bila ya kuwa na chembe ya aibu kabisa usoni mwake.
Hadi kuua waTanganyika ili mradi abakie kwenye u-rais hakumsumbui kabisa akili yake.Wataalam wa psychology wanaweza kuitafsiri vizuri hali yake hii.
Na anayafanya bila ya kuwa na chembe ya aibu kabisa usoni mwake.✍🏿
Dah!
Hata "uongo" una kipimo chake.
Anayofanya Samia sasa hivi yamevuka kiwango cha kuwa uongo. Sijui kama kuna jina sahihi ya hali hiyo anayoitumia sasa hivi Samia.
Kumbe hata 'Zungu' yule mwarabu Spika na yeye ni kazi ya Samia kuwa katika uspika.
Sasa hii bado ni nchi kweli?
Mimi nadhani Samia ana aina ya ugonjwa wa akili
Wataalam wa psychology wanaweza kuitafsiri vizuri hali yake hii.
Na anayafanya bila ya kuwa na chembe ya aibu kabisa usoni mwake.
Watu wanatekwa na wengine wanauawa; humsikii huyu Samia aliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko marais wote, wakiwemo Mwinyi na Nyerere, humsikii kabisa akiyazungumzia mambo ya namna hiyo.All these👆🏾combined into one ndiyo unapata characteristics za bi Msumi Kizimkazi..
- Callus-Unemotional(CU) traits
- Ego-Syntonic Behavior
- Low Shame-Proness(Psychopathy)
- Pathological Narcissim
- Machiavellianism
Sasa jiulize, nguvu au uwezo wa kushawishi hawa wote, hivyo vyombo vya dola, BAKWATA, na CCM yote yeye kazitoa wapi?Wabunge wenyewe ni type ya kina baba levo tutegemee nini?
Wahuni wamevuruga kila idara/sector ambayo kikatiba ingeweza kuhoji , kupinga ,kukataza ama kuchukua hatua dhidi ya serikali na viongozi pale ambapo watajaribu kuipeleka nchi kwa manufaa yao na si kwa manufaa ya umma.
Sehemu zote zenye mamlaka ya kuwawajibisha watawala wamezidhoofisha, sio bungeni, mahakamani, vyombo vya ulinzi na usalama n.k..
Waliokuwa wamebaki wanawapinga ni TEC na CHADEMA, tumeona sote jinsi wale viongozi wao wa TEC walichofanywa.. Kitima kapigwa hadi kulazwa... Tumeona pia viongozi wa CHADEMA wavyotendewa... Na hivi sasa CHADEMA nayo inashughulikiwa iwe kama CHAUMMA...
Huko BAKWATA ndipo kabisa hakuna lolote kumeoza..
TISS huko ndipo basi tena hakuna lolote....
Polisi huko ndipo usiulize...
Mahakamani huko ni bora ukae kimya tu, maana tunajionea kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa maelekezo kutoka juu..
Inasikitisha...
Wewe ulidhani Tulia aliweka mpira kwapani kwa kupenda?Kumbe hata 'Zungu' yule mwarabu Spika na yeye ni kazi ya Samia kuwa katika uspika.
Sasa hii bado ni nchi kweli?
Motive ni pesa na power...Sasa jiulize, nguvu au uwezo wa kushawishi hawa wote, hivyo vyombo vya dola, BAKWATA, na CCM yote yeye kazitoa wapi?
Binafsi naamini tukijuwa nguvu zake zinatokana na nini, huo utakuwa ni mwanzo wa kujuwa njia za kumkomesha
Samia anapata wapi nguvu za kuwanyanyasa waTanzania wote kiasi hiki.
Nikisoma andiko lako hapa, naona jibu limo humo katika hao uliowaorodhesha.
Lakini vyombo vya ulinzi siyo washiriki wa moja kwa moja. Hawa wabnapewa amri tu kutimiza kilichoamriwa.
Alichokifanya ni kuwaweka kiganjani mwake au kuwaondoa wale wote aliowaona watambughudhi/ni tishio wakati wa kufanya mambo yake haram kwa uhuru.Sasa jiulize, nguvu au uwezo wa kushawishi hawa wote, hivyo vyombo vya dola, BAKWATA, na CCM yote yeye kazitoa wapi?
Binafsi naamini tukijuwa nguvu zake zinatokana na nini, huo utakuwa ni mwanzo wa kujuwa njia za kumkomesha
Samia anapata wapi nguvu za kuwanyanyasa waTanzania wote kiasi hiki.
Nikisoma andiko lako hapa, naona jibu limo humo katika hao uliowaorodhesha.
Lakini vyombo vya ulinzi siyo washiriki wa moja kwa moja. Hawa wabnapewa amri tu kutimiza kilichoamriwa.
Those are subsidiary to the main goal.Motive ni pesa na power...
Tamaa za mali na maisha ya kifahari..
Umejitahidi sana mkuu 'Tate Mkuu'.Alichokifanya ni kuwaweka kiganjani mwake au kuwaondoa wale wote aliowaona watambughudhi/ni tishio wakati wa kufanya mambo yake haram kwa uhuru.
Waliokubaliana na matakwa yake aliwahonga pesa nyingi/madaraka, wakatulia kama maji ya mtungi! Waliokataa/walioyapinga matakwa yake, wameshughulikiwa kwa namna ambayo inafaa kulingana na nguvu/ushawishi wao kwenye jamii. Ukichunguza kwa umakini utakubaliana na mimi. Hapa nimeandika kwa ujumla sana.