TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mwanzo walisema waarabu wamekamatwa kwa taarifa za ambrose baadae wakasema wamekamatwa sababu walikua maeneo ya tukio na kama isingekua ubalozi wao kuwasaidia wangetolewa kafara bure maskini nawaskitikia FBI wao ni proffessional wameingizwa kweny mtego wa siasa hawatapata chochote!
Polisi siku hizi kaka wanachukuliwa hadi form 4 leaver 2 ht km ana div 4 pnts 32 anaenda depo unategemea nn?
Hata sasa utakuta kuna kichaa amekwisha mbaya ameonekana mitaani miaka ishirini lakini wanaamini kwa moyo mmoja ni shushushu.any way kama ilshawahi kuwa ni miaka hiyo,siku hiz tecnologia ndio inaplay major rall siku hiz watu wanatumia bugs hadi vyooni,redio transmitars hadi kwenye miswaki baba.Enzi hizo mazuzu walikuwa wengi wengi,hiyo tv tu alikuwa na sheikh yahaya na Nyerere! halafu wakawa wanawatabiria wenzao mambo ya ulimwengu kumbe wao wameona kupitia CNN,BBC!midingi ya wakati eti mtu yuko chumbani na wife anaogopa kutaja jina la Rais kwa ubaya anahisi panya aliyepo darini ni shu shu shu aliye jigeuza panya !
Labda sijui maana ya intelijensia!
Kumbe basi, idara inawajibu kwa raia wote wa tanzania bila kujali vyama, dini kabila wala rangi!
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.
Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.
Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

hivi usalama wa taifa umeanzishwa mwaka gani hapa Tz
haya yote yanatokea kwa sababu ya uzalendo zero
Usalama unaongozwa na mgeni toka nchi ya zanzibar wategemea nini..miujiza hii ipo tanganyika tu!...na mimi nikipewa nchi hii nitamteua mhindi ili tuwalishe pilipili mpaka..