Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

Story tu na ndoto za mchana.....TZ iwe ya tatu kwa kipi kwa mfano tena wakt ule tulikua tuna low technology na umaskin sjui hvo vwango walivitoa wapi ,labda kama ilikua wapelelez wetu walkua watatu kwa mshahara mdgo dunian labda umekosea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno ninaweza kuyaamni kwani enzi za Nyerere ndiyo kipindi cha Cold War kilishamiri. Kwa uhakika wa habari Ujerumani Mashariki iliyoa mafunzo ya ukachero kwa Tanzania.
 
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.
Ilikuwa ni Enzi za Vita baridi!
utotoni hata sisi tulikatazwa kumsema sema nyerere eti anasikia chochote utakachosema!
Sasa sijui alikuwa anasikiaje! Duh! Zamani ni zamani tu.
 
Zamani nakubali kabisa kwasababu mabalozi wa nyumba kumi walikua na nguvu sana! Mgeni akija kwako ilikua nilazima balozi apewe taarifa! Mabalozi walikua wanajua kua leo katika kaya zangu 10 wamelala watu wangapi na kuna wageni wangapi! Tofauti na sasa mabalozi hata hawawajui watu wao

Mambo yamebadilika sana zamani mtu unamtafuta kwa balozi, siku hizi unamtafuta kwa namba za simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilikuwa stori za kupoteza muda, majivuno na utaifa kwanza. Leo hii katika kipindi cha vyama vingi wananchi wasio na mawazo chanya inaongezeka pia uhuru, haki, maendeleo ya uchumi na uwazi ndio vipaumbelee vya vijana na wananchi kwa ujumla.
Mpaka sasa bado "tunafundishana" jinsi ya kupata maendeleo kwa kutumia mbinu kutoka kwa "marafiki" zetu mbalimbali.
Katika hili unapaswa kusikiliza na kutenda na sio kuchangia au kubadilisha kile unachopaswa kufanya. Ni nini kinachofanyika hapa?. Ni kwamba mawazo yako hayana nafasi na umuhimu bila kujali yawezakuwa sio mawazo sahihi kwa mda huo na baadae.
 
Ni kweli kabisa,ubora wa state security agency kipindi hicho,urijurikana mpaka kwa watoto wadogo,nakumbuka turipokuwa tukicheza,ukisema kitu kibaya,unaambiwa,Nyerere anakusikia,
Kama turiweza kuendesha vita vya ukombozi nchi za kusini mwa jangwa LA sahara,bila kuwa na intelligence agency iliyo imara,tusingeweza.kitengo kilituria sana kipindi hicho.
Hawa vijana wa Sikh hizi,wanatambiana baa,na kuchomoleana bastora hadharani,hila bado kipo vzr,
Kuna ma aple machache yaliyooza,ukiyatoa,tunaweza kurudi kwenye chati,
 
ungesema kupelezwa na wa misionary labda...haijawahi kuwa wala haitowahi kuwa..
 
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.
Nani alikua akipima kiwango cha level za upelelezi dudniani akawa anatoa hizo takwimu??
Alikua akitumia vigezo vipi labda??
Twaweza kupata hata Link tukajiridhisha huko??
 
" Tanzania iliwahi kuwa Nchi ya tatu kwa Upelelezi" ni wakati uliopita, tuzungumzie wakati uliopo na ujao!
 
Tiss hawalali usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inabaki salama cha ajabu watanzania ni watu tusio na heshima kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tunakuwa wepesi kuamaini mambo ya upotoshaji uzandiki na propaganda za watu wanaotaka kujaribu kuvunja amani yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usalama unaongozwa na mgeni toka nchi ya zanzibar wategemea nini..miujiza hii ipo tanganyika tu!...na mimi nikipewa nchi hii nitamteua mhindi ili tuwalishe pilipili mpaka..[/QUOT}

wacha bana daaahhh!!!!!!!
 
Hakuna chombo chochote kile duniani ambacho hufanya kaz ya kupima na kutoa remarks in ranks kwa vyombo vya upelelezi duniani (intelligence agencies) kutokana na utendaji wao kwasababu task nying za vyombo hivi huwa ni siri na haziwi published baada ya kufanyika na hta ikitokea izo task zikajulikana bas huwa baada ya muda mrefu mf. operation dhidi ya Lumumba imeichukua dunia miaka takriban 40 kuujua ukweli, task ya MI6 kubroke Enigma codes za wajeruman kweny WW II ilikuja kujulikna after yrs.
Hivyo hizo assesment hufanywa na watu personally lakini mapungufu yake ni makubwa. Binafsi napingana na hilo la TISS kua ya tatu! unless nalata vgezo dhidi taasisi nyingne.

hahahahah aisee kweli giza bado kidogo tu narudi nyumbani kijijini IMPROB
 
Back
Top Bottom