Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

Edward mondlane ndio nan au ni yule kiongozi wa Renamo

Sent using Jamii Forums mobile app

au umezoea kuona Eduardo?, Yes ndio miongoni mwa waanzilishi wa FRELIMO , chama cha ukombozi cha wanamsumbuji Kilichoanzishwa hapa Dare Es Salaam,
alikufa baada ya kufungua kifurushi alichotumiwa kama kitabu kumbe lilikuwa ni bomu ilikuwa mwaka 1969 hapa Dar es Salaam

alikuwa ni kingozi muhimu na alikuwa anawindwa sana na Wareno?, iweje kifurushi kipenye na kumfikia bila kuwa noticed na watu wa usalama?
 
yawezeka labda walijua lkn wakamuacha afe maana mwalimu alikuwa anaweka vibaraka wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoku dogo, Tulikua tunasema.... Tanzania inauwezo wa kuipiga marekan viti vya ardhin.


Tulipokua tunasahau.mikwamba hata silaha za Tanzania nyingine zinatoka Marekan.
 
Siri zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Halafu niliposoma kitabu cha Uria Simango(makamu wa rais wa frelimo enzi hizo) kuna jasusi (Robert Leroy) mreno aliingia Tz na kujifanya mwandishi wa habari kutoka Uchinaalifanikiwa kuwahoji na kupandikiza chuki kwa viongozi waandamizi wa frelimo,alifanikiwa mpaka kuzijua njia za panya ambazo frelimo wanazitumia na kufanya mashambulizi nchini Msumbiji,Tiss walipigwaje chenga na huyu mgema ulimbo!
Lile volume LA vitabu laiti vingeandikwa kwa kiingereza lingemuondoa makamu wa rais Uria Simango kwasababu angetaka kusoma,ilaalilishika ila alipoona limeandikwa kwa kifaransa lugha ambayo haijui ndio akalipotezea,
Bomu lile lilitengenezwa na agent mmoja wa PIDE(majasusi kipindi cha mreno nchini Msumbiji)
Nalog off
 
Kumbuka enz za henry kissinger akiitembelea tanzania.na kituko cha kunyanghanywa miwani na nyerere na kupewa mingine.baadae nyerere anaondoka na kuwacha kisdinger na kambona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Mkuu kwenye hii field ya ujasusi kuna wakina MOSAD, CIA, KBG, FBI nk nk halafu unasema Tanzania ilikuwa ya tatu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…