Tanzania iliyopanda hadi uchumi wa kati kwa mwaka wa tano yashindwa kupandisha mishahara

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe.

Lakini yeye akaamua fungu lote la mishahara kupeleka kwenye Mambo liyoyataka yeye,na bahati mbaya mafanikio ya miradi hiyo yataanza kuonekana miaka mingi isiyotabirika ijayo.

Hatukatai miradi ya muda mrefu,lakini iende taratibu,bila kuathiri miradi ya muda mfupi na stahili na haki za raia.

Kuvunja taratibu za manunuzi za asili Kama ununuzi wa vyombo Kama ndege nyingi kwa mpigo na kulipa kwa fedha taslimu badala ya utaratibu wa kawaida wa kulipa kwa "installment" Ni kuumiza uchumi.

Sijawahi kuona nchi ya uchumi wa Kati kukwepa kuongeza mishahara ya watumishi wake. Utetezi wa kutoongeza mishahara umekua mwingi mno,inatia shaka.

Kusema kwamba uchumi umeharibiwa na korona ni kumsitiri mwendazake, lakini kwa kifupi mwendazake kaharibu uchumi.

Aliiongoza nchi kwa propaganda,
Aliiongoza nchi kwa sifa,
Alikurupukia miradi mikubwa mno kwa sifa,huku akitaka aimalize kwa mda mfupi,wakati Hana hela.
Njia pekee ilikua Ni kupeleka pesa amabazo angeongeza mishahara kwenda kwenye miradi hiyo.

Viongozi waliomtangulia hawakua wajinga,kuongeza mishahara kila mwaka,ina maana yake na faida zake,Ni utaratibu na Ni sheria.

Kukaa miaka mitano bila nyongeza huku kila mwaka na utetezi tofauti, ni wazi kuwa nchi haina hela ya kuongeza mishahara,Bali uongo na propaganda ndio vilitawala.

Nchi zenye uchumi wa Kati huweza kuongeza mishahara na kugharamia miradi.
Ukiona nchi inajiita uchumi wa Kati halafu imeshindwa kuboresha mishahara,ujue imepika namba na data.

Unataka nchi ya Viwanda lakini hutaki kuongeza mishahara,

Miundombinu inajengwa na wafanyakazi,
Unalindwa na wafanyakazi,
Nchi inalindwa na wafanyakazi,
Madini yanachimbwa na wafanyakazi,
Unatibiwa na wafanyakazi,
Watoto wako wanafundishwa na wafanyakazi,
Unaendeshwa kwenda kuangalia miradi na kwenda kazini na wafanyakazi,
Wanaokusanya Kodi Ni wafanyakazi,
Wahandisi Ni wafanyakazi,
Wanajeshi Ni wafanyakazi,
Mapolisi Ni wafanyakazi,
Usalama wa nchi Ni wafanyakazi,
Hai ni baadhi lakini hao ndio wajenda uchumi.
Hao ndio waendesha mitambo,wanahitaji motisha,na motisha huongeza tija.
Hata mitambo tuu huongezwa girisi,oili na nishati.

Kwa kifupi Mama na siku sio zaidi ya 50 Hana lolote la kufanya, pengine kakuta kibubu hakina hela za kutosha.
Mwendazake kamuachia kibubu kitupu.
Lawama zote ziende kwake.

Kwa kifupi mwendazake kaharibu maisha ya wakulima, wafanyabiashara na pia kaharibu maisha ya wafanyakazi.
 
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu.
Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi...
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Hivi wataalamu wa masuala ya duniani, mnipe ya huko

Vipi mataifa mengine(makubwa) wao ni kila mwaka wanaongezwa mishahara??

Au hii kuongezana mishahara kila mwaka ni mfumo tuliozoeshwa na wanasiasa wetu tu..?

Na je ongezeko huwa kias gani?
 
Hata kama mshahara usiongezwe kila mwaka, ndio ifike miaka 6? Huku bei za bidhaa zikizidi kupaa!!! Sukari, mafuta, saruji, nondo, bati n.k bei zipo juu!
 
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu.
Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi,
Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe.

Lakini yeye akaamua fungu lote la mishahara kupeleka kwenye Mambo liyoyataka yeye,na bahati mbaya mafanikio ya miradi hiyo yataanza kuonekana miaka mingi isiyotabirika ijayo.

Hatukatai miradi ya muda mrefu,lakini iende taratibu,bila kuathiri miradi ya muda mfupi na stahili na haki za raia.

Kuvunja taratibu za manunuzi za asili Kama ununuzi wa vyombo Kama ndege nyingi kwa mpigo na kulipa kwa fedha taslimu badala ya utaratibu wa kawaida wa kulipa kwa "installment" Ni kuumiza uchumi.

Sijawahi kuona nchi ya uchumi wa Kati kukwepa kuongeza mishahara ya watumishi wake.
Utetezi wa kutoongeza mishahara umekua mwingi mno,inatia shaka.

Kusema kwamba uchumi umeharibiwa na korona Ni kumsitiri mwendazake,lakini kwa kifupi mwendazake kaharibu uchumi.

Aliiongoza nchi kwa propaganda,
Aliiongoza nchi kwa sifa,
Alikurupukia miradi mikubwa mno kwa sifa,huku akitaka aimalize kwa mda mfupi,wakati Hana hela.
Njia pekee ilikua Ni kupeleka pesa amabazo angeongeza mishahara kwenda kwenye miradi hiyo.

Viongozi waliomtangulia hawakua wajinga,kuongeza mishahara kila mwaka,ina maana yake na faida zake,Ni utaratibu na Ni sheria.

Kukaa miaka mitano bila nyongeza huku kila mwaka na utetezi tofauti, ni wazi kuwa nchi haina hela ya kuongeza mishahara,Bali uongo na propaganda ndio vilitawala.

Nchi zenye uchumi wa Kati huweza kuongeza mishahara na kugharamia miradi.
Ukiona nchi inajiita uchumi wa Kati halafu imeshindwa kuboresha mishahara,ujue imepika namba na data.

Unataka nchi ya Viwanda lakini hutaki kuongeza mishahara,

Miundombinu inajengwa na wafanyakazi,
Unalindwa na wafanyakazi,
Nchi inalindwa na wafanyakazi,
Madini yanachimbwa na wafanyakazi,
Unatibiwa na wafanyakazi,
Watoto wako wanafundishwa na wafanyakazi,
Unaendeshwa kwenda kuangalia miradi na kwenda kazini na wafanyakazi,
Wanaokusanya Kodi Ni wafanyakazi,
Wahandisi Ni wafanyakazi,
Wanajeshi Ni wafanyakazi,
Mapolisi Ni wafanyakazi,
Usalama wa nchi Ni wafanyakazi,
Hai ni baadhi lakini hao ndio wajenda uchumi.
Hao ndio waendesha mitambo,wanahitaji motisha,na motisha huongeza tija.
Hata mitambo tuu huongezwa girisi,oili na nishati.

Kwa kifupi Mama na siku sio zaidi ya 50 Hana lolote la kufanya,pengine kakuta kibubu hakina hela za kutosha,
Mwendazake kamuachia kibubu kitupu.
Lawama zote ziende kwake.

Kwa kifupi mwendazake kaharibu maisha ya wakulima, wafanyabiashara na pia kaharibu maisha ya wafanyakazi.

Case Closed ...Jiwe kaharibu nchi.
 
Mimi mhehe sio msukumu..

Sasa ukibishana na degree yangu sikufanyi kama saa7. [emoji16][emoji16][emoji16]

Mnaponzwa na sifa za kijinga.

Viva Magu... Rest in Heaven mwamba
Wacha ushamba we msukuma.
Wewe huna degree.Labda una certificate ya veta.
 
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe.

Lakini yeye akaamua fungu lote la mishahara kupeleka kwenye Mambo liyoyataka yeye,na bahati mbaya mafanikio ya miradi hiyo yataanza kuonekana miaka mingi isiyotabirika ijayo.

Hatukatai miradi ya muda mrefu,lakini iende taratibu,bila kuathiri miradi ya muda mfupi na stahili na haki za raia.

Kuvunja taratibu za manunuzi za asili Kama ununuzi wa vyombo Kama ndege nyingi kwa mpigo na kulipa kwa fedha taslimu badala ya utaratibu wa kawaida wa kulipa kwa "installment" Ni kuumiza uchumi.

Sijawahi kuona nchi ya uchumi wa Kati kukwepa kuongeza mishahara ya watumishi wake. Utetezi wa kutoongeza mishahara umekua mwingi mno,inatia shaka.

Kusema kwamba uchumi umeharibiwa na korona ni kumsitiri mwendazake, lakini kwa kifupi mwendazake kaharibu uchumi.

Aliiongoza nchi kwa propaganda,
Aliiongoza nchi kwa sifa,
Alikurupukia miradi mikubwa mno kwa sifa,huku akitaka aimalize kwa mda mfupi,wakati Hana hela.
Njia pekee ilikua Ni kupeleka pesa amabazo angeongeza mishahara kwenda kwenye miradi hiyo.

Viongozi waliomtangulia hawakua wajinga,kuongeza mishahara kila mwaka,ina maana yake na faida zake,Ni utaratibu na Ni sheria.

Kukaa miaka mitano bila nyongeza huku kila mwaka na utetezi tofauti, ni wazi kuwa nchi haina hela ya kuongeza mishahara,Bali uongo na propaganda ndio vilitawala.

Nchi zenye uchumi wa Kati huweza kuongeza mishahara na kugharamia miradi.
Ukiona nchi inajiita uchumi wa Kati halafu imeshindwa kuboresha mishahara,ujue imepika namba na data.

Unataka nchi ya Viwanda lakini hutaki kuongeza mishahara,

Miundombinu inajengwa na wafanyakazi,
Unalindwa na wafanyakazi,
Nchi inalindwa na wafanyakazi,
Madini yanachimbwa na wafanyakazi,
Unatibiwa na wafanyakazi,
Watoto wako wanafundishwa na wafanyakazi,
Unaendeshwa kwenda kuangalia miradi na kwenda kazini na wafanyakazi,
Wanaokusanya Kodi Ni wafanyakazi,
Wahandisi Ni wafanyakazi,
Wanajeshi Ni wafanyakazi,
Mapolisi Ni wafanyakazi,
Usalama wa nchi Ni wafanyakazi,
Hai ni baadhi lakini hao ndio wajenda uchumi.
Hao ndio waendesha mitambo,wanahitaji motisha,na motisha huongeza tija.
Hata mitambo tuu huongezwa girisi,oili na nishati.

Kwa kifupi Mama na siku sio zaidi ya 50 Hana lolote la kufanya, pengine kakuta kibubu hakina hela za kutosha.
Mwendazake kamuachia kibubu kitupu.
Lawama zote ziende kwake.

Kwa kifupi mwendazake kaharibu maisha ya wakulima, wafanyabiashara na pia kaharibu maisha ya wafanyakazi.ll

Dr Philip mpango aliyekuwa waziri wa fedha alimdanganya mwendazake kWa utengeneza data za uongo .
 
Yani humu kumekuwa kama FB. Watu hawana hata idea ya uchumi ila wanajifanya wachumi. Ngoja nirudi tu twitter.
 
Hata kama mshahara usiongezwe kila mwaka, ndio ifike miaka 6? Huku bei za bidhaa zikizidi kupaa!!! Sukari, mafuta, saruji, nondo, bati n.k bei zipo juu!
USA Mara ya mwisho walipabdisha kima cha chini kuwa $7.25 mwaka 2009! Ni zaidi ya miaka 10 mishahara haijapanda.
 
Only mpumbavu can take mambo ya humu serious and personal... The good is upumbavu ni kipaji na baraka[emoji16][emoji16]

The good is huo ni uwezo wa engineers wetu wa bongo kutoweza kupambanua mambo..

Silimi and all i said was a joke...[emoji16][emoji16]

You are the best katika kipaji chako mkuu
Huu Ni ujinga uliokubuu unazani kila mtu akianza kulima utamuuzia Nani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom