lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe.
Lakini yeye akaamua fungu lote la mishahara kupeleka kwenye Mambo liyoyataka yeye,na bahati mbaya mafanikio ya miradi hiyo yataanza kuonekana miaka mingi isiyotabirika ijayo.
Hatukatai miradi ya muda mrefu,lakini iende taratibu,bila kuathiri miradi ya muda mfupi na stahili na haki za raia.
Kuvunja taratibu za manunuzi za asili Kama ununuzi wa vyombo Kama ndege nyingi kwa mpigo na kulipa kwa fedha taslimu badala ya utaratibu wa kawaida wa kulipa kwa "installment" Ni kuumiza uchumi.
Sijawahi kuona nchi ya uchumi wa Kati kukwepa kuongeza mishahara ya watumishi wake. Utetezi wa kutoongeza mishahara umekua mwingi mno,inatia shaka.
Kusema kwamba uchumi umeharibiwa na korona ni kumsitiri mwendazake, lakini kwa kifupi mwendazake kaharibu uchumi.
Aliiongoza nchi kwa propaganda,
Aliiongoza nchi kwa sifa,
Alikurupukia miradi mikubwa mno kwa sifa,huku akitaka aimalize kwa mda mfupi,wakati Hana hela.
Njia pekee ilikua Ni kupeleka pesa amabazo angeongeza mishahara kwenda kwenye miradi hiyo.
Viongozi waliomtangulia hawakua wajinga,kuongeza mishahara kila mwaka,ina maana yake na faida zake,Ni utaratibu na Ni sheria.
Kukaa miaka mitano bila nyongeza huku kila mwaka na utetezi tofauti, ni wazi kuwa nchi haina hela ya kuongeza mishahara,Bali uongo na propaganda ndio vilitawala.
Nchi zenye uchumi wa Kati huweza kuongeza mishahara na kugharamia miradi.
Ukiona nchi inajiita uchumi wa Kati halafu imeshindwa kuboresha mishahara,ujue imepika namba na data.
Unataka nchi ya Viwanda lakini hutaki kuongeza mishahara,
Miundombinu inajengwa na wafanyakazi,
Unalindwa na wafanyakazi,
Nchi inalindwa na wafanyakazi,
Madini yanachimbwa na wafanyakazi,
Unatibiwa na wafanyakazi,
Watoto wako wanafundishwa na wafanyakazi,
Unaendeshwa kwenda kuangalia miradi na kwenda kazini na wafanyakazi,
Wanaokusanya Kodi Ni wafanyakazi,
Wahandisi Ni wafanyakazi,
Wanajeshi Ni wafanyakazi,
Mapolisi Ni wafanyakazi,
Usalama wa nchi Ni wafanyakazi,
Hai ni baadhi lakini hao ndio wajenda uchumi.
Hao ndio waendesha mitambo,wanahitaji motisha,na motisha huongeza tija.
Hata mitambo tuu huongezwa girisi,oili na nishati.
Kwa kifupi Mama na siku sio zaidi ya 50 Hana lolote la kufanya, pengine kakuta kibubu hakina hela za kutosha.
Mwendazake kamuachia kibubu kitupu.
Lawama zote ziende kwake.
Kwa kifupi mwendazake kaharibu maisha ya wakulima, wafanyabiashara na pia kaharibu maisha ya wafanyakazi.