Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Station za treni za katikati hazina haja ya kuwa kubwa kwani hakuna mizigo mingi wala wasafiri wengi, station za kwenye miji ndio huwa zinakuwa na wasafiri na mizigo mingi na kuna haja ziwe kubwa.Jaribu kufuatilia station kubwa za wakoloni za katikati, ukiangalia baadhi zilijengwa kwa majengo makubwa kwa kuangalia wingi wa wasafiri au shuguli ya kiuchumi ya sehemu husika na si kuwa zilijengwa zote kubwa bila ya sababu...
 
Tuliza mshono kijana nina sifa za kutosha sijabebwa na mbwa koko
Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?
 
Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?
Nitaangalia nimekosea wapi na nirekebishe, kwani mkuu kukosoa ni zambi ?
 
Kwani uliambiwa stations ndizo tutakazopanda? Acha majungu ...kama usemayo ni kweli na si majungu weka jina lako halisi. Umeshindwa kuiba unakuja kuleta majungu
Tuliza mbwembwe we si engineer
 
Wewe na yeye nani mbwa? Domo zito kama umemeza kokoto. Unaweza kuwa mkenya huna lolote.
Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set
 
Back
Top Bottom