Huna lolote mbea tu wewe na huna uinjinia wowote kibarua tu weweHaaaaaa eti mkenya haya ngoja tusifie station ni nzuri
jina halisi weka lako we bibi vipiKwani uliambiwa stations ndizo tutakazopanda? Acha majungu ...kama usemayo ni kweli na si majungu weka jina lako halisi. Umeshindwa kuiba unakuja kuleta majungu
Haaaa eti kibarua muulize Masanja kadogosa, au Mr. Mgezi au MR Katalaya watakuambia mimi ni naniHuna lolote mbea tu wewe na huna uinjinia wowote kibarua tu wewe
Maengineer wa Tanzania wakijenga chini wa watu weupe, ujenzi una ubora wakijenga wenyewe mifano mnayo, barabara za Kinondoni, st Mary's, miradi iliyogomewa kufunguliwa na mwenge, madarasa Kilolo nk, halafu mnaleta upupu humu. Labda uwe umetumwa na wapinga kila jamboWakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Hilo nakubaliana na wewe 100%.Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Wasafiri hawataki mbwembwe..Cha msingi huduma ya SGR yenyewe ndio iwe bora.
Mambo majengo sijui yawe vile sijui hivi,kwani tunalala hapo?
Bora umesema mama hapa watu wananiponda tuHilo nakubaliana na wewe 100%.
Angalia tu station za mabasi za hivi karibuni zinavyojengwa ni upuuzi mtupu.
mimi nadMaengineer wa Tanzania wakijenga chini wa watu weupe, ujenzi una ubora wakijenga wenyewe mifano mnayo, barabara za Kinondoni, st Mary's, miradi iliyogomewa kufunguliwa na mwenge, madarasa Kilolo nk, halafu mnaleta upupu humu. Labda uwe umetumwa na wapinga kila jambo
Tuwaulize kuwa mnamfahamu RUKUKU BOY? Au utatupa jina lako halisi ndio tuwaulize?Haaaa eti kibarua muulize Masanja kadogosa, au Mr. Mgezi au MR Katalaya watakuambia mimi ni nani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tuwaulize kuwa mnamfahamu RUKUKU BOY? Au utatupa jina lako halisi ndio tuwaulize?
Shikamoo mkuu we ndo unajua maana ya SGRmimi nadhani yuko sahihi. Nia kubwa ya kuwa na mziki mkubwa huu ni kusaidia wananchi. Kuna haja ya kuangalia namna ambavyo wafabnyabiashara wetu wadogo wanaweza pia kuingia katika treni hiyo na kurejea kwao. Pia ipo haja ya kuangalia namna ambavyo wtau wetu na mizigo yao wanaweza kutumia usafuiri huu
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Kaama nia ninreli kukaa miaka 100 ijayo lazima ukubwa wa stesheni uzingatiwe.Wasafiri hawataki mbwembwe..Cha msingi huduma ya SGR yenyewe ndio iwe bora.
Mambo majengo sijui yawe vile sijui hivi,kwani tunalala hapo?
Muda ukifika au mahitaji yakipngezeka tutajenga au kuvipanua mbele ya safari..Kwa sasa treni na reli ndio kipaumbeleKaama nia ninreli kukaa miaka 100 ijayo lazima ukubwa wa stesheni uzingatiwe.
Mfano. Inawezekana vituo vya mwendokasi dar vikaonekana vikubwa kwa sasa lakini miaka 20 ijayo vinaweza kuwa vidogo.
Ni muhimu sana. Ndio maana pia terminal za uwanja wa ndege zinaongwzwa kuzingatia ongezeko la watu.
Huna ethics za kazi, future ni giza tupu ukiendelea na swaga kama hizi, inshu zako za kazi confo kama hizi unaaanza kuzileta JF na mwajiri kama yuko smart kesho tu ungelimwa barua ya matumizi mabaya ya taarifa. Jifunze kuwa na kifua uwapo kaziniWakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.