As long as reli ipo vzr majengo tunaweza kubadilisha huko baadae yakishachoka
WalahiNilipigwa ban kwa ajili ya walahi, walahi
Kweli walahiWewe una laana kuu kabisa milele yote kwa kweli View attachment 949338
Haki ya Mola wanguKweli walahi
Kwa hiyo walahi kwangu ndio hivyo tena lakini mazoe yana tabu wa...., oooopsKweli walahi
Huna lolote wewe. Huna picha wala nini.Soon naziweka
We Binti tuliza papuchi unaparukia watu wakati huwajui kubali kataa sisi ndo tunawajengea hiyo reli soo kaa kimyaHaki ya Mola wangu
Ban ya nusu siku
Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?Tuliza mshono kijana nina sifa za kutosha sijabebwa na mbwa koko
Ukienda jukwaa la Kenya wa TZ tulikuwa tunawatukana sana kuhusu reli yao ila ndo hivyoKikubwa sie ni kupanda tu hiyo treni ya umeme na hzo steshen hatuna shda nazo
Nitaangalia nimekosea wapi na nirekebishe, kwani mkuu kukosoa ni zambi ?Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?
Utaangalia umekosea wapi wakati foundation ipo tayari na structure zimetengezwa???Nitaangalia nimekosea wapi na nirekebishe, kwani mkuu kukosoa ni zambi ?
Tuliza mbwembwe we si engineerKwani uliambiwa stations ndizo tutakazopanda? Acha majungu ...kama usemayo ni kweli na si majungu weka jina lako halisi. Umeshindwa kuiba unakuja kuleta majungu
Wewe na yeye nani mbwa? Domo zito kama umemeza kokoto. Unaweza kuwa mkenya huna lolote.Tuliza mshono kijana nina sifa za kutosha sijabebwa na mbwa koko
Haaaaaa eti mkenya haya ngoja tusifie station ni nzuriWewe na yeye nani mbwa? Domo zito kama umemeza kokoto. Unaweza kuwa mkenya huna lolote.
Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajuaWewe na yeye nani mbwa? Domo zito kama umemeza kokoto. Unaweza kuwa mkenya huna lolote.